playboy babu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 2,648
- 1,566
- Thread starter
-
- #81
We usilazimishe tuache kilichoandikwa tukufate ww ndugu watu wana jeuri ya pesa wanaweza wakawa watatu wakachukua meza ya laki nne kwani nin?...kiba jini hilo msishindane nalo shauri yenu.Huna hoja ... OVA
Hahahahahahaaaa angewaalika WCB wajifunze live show siyo ma cd tu hata makanisani wanaimba live hawa jamaa sijui wa wapi haahhahaShow ilikua nzuri na yenye kuvutia tulio enda tulitamani awe anafanya mara kwa mara
Ila tulikua group tukijadili baada ya show kumalizika kuwa angekuwa anaalika wasanii wengi ili wajionee live band inavyotakiwa kufanywa
Mofaya ni nzuri na ya kipekee hii kwa upande wangu kwakuwa kila mtu anapenda kinywaji chake
Nilifurahi kumwona uwoya japo anakinzana na picha zake za mtandaoni
Ova..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa jeuri tu wapo wanaoweza lipia show nzima na akaingia peke yake...nini meza..?? ZUNGUMZIA KILICHOANDIKWA.... MEZA YA WATU 8 SHILINGI LAKI 4. In other words, Kila kiti ni Shilingi 50,000/- (hesabu ya kawaida tu na sioni unachobisha)We usilazimishe tuache kilichoandikwa tukufate ww ndugu watu wana jeuri ya pesa wanaweza wakawa watatu wakachukua meza ya laki nne kwani nin?...kiba jini hilo msishindane nalo shauri yenu.
kiba anapiga live kaka huo upuuz wa playbak upo madaleBinafsi Nlishaacha kuhudhuri Show za Hawa vijana wa Bongo Fleva
Unalipa Laki 4 yako,
Unakuja kusikilizishwa mziki wa kwenye CD.
Sharobaro juu ya steji haimbi wala nini.
Anachezesha tu MIDOMO
BORA NILIPIE TU BENDI ZA DANSI AU SEBENE NIKAONE MAUNO YA KINSHASA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo hesabu zako kaka usitulazimishe kuamini utakavyo nakupa fact na hizo matangazo zimeandikwa hivyo mzee lete andiko lililoandikwa hiko unachosema then i will shut upKwa jeuri tu wapo wanaoweza lipia show nzima na akaingia peke yake...nini meza..?? ZUNGUMZIA KILICHOANDIKWA.... MEZA YA WATU 8 SHILINGI LAKI 4. In other words, Kila kiti ni Shilingi 50,000/- (hesabu ya kawaid atu na sioni unachobisha)
Kama mwenye jeuri atalipia meza na akakae peke yake, HAIONDOI UKWELI KWAMBA KILA MEZA NI SHILINGI LAKINI 4 na hiyo inafanya kiti kimoja katika hiyo meza ni shilingi elfu 50.
Huyo mwenye jeuri alipe basi hiyo laki 4, halafu mezani wakake 10 aone..!!!
Unauliza kisu kwa muuza nyama?Vipi BADO UNAHITAJI MREJESHO KAKA?
AhahahaahHahahahahahaaaa angewaalika WCB wajifunze live show siyo ma cd tu hata makanisani wanaimba live hawa jamaa sijui wa wapi haahhaha
Sifany huo ujinga hahahahaaaUnauliza kisu kwa muuza nyama?
haaahaaa tehee teheekiba anapiga live kaka huo upuuz wa playbak upo madale
Huibiwi show za kiba bt wale wengine wanaenda na cd afu wao wanageuka dancers kazi imeisha hahahahahaaaahaaahaaa tehee tehee
Watu walitamani show irudiwe
Usifanye mchezo na SILENT BILLIONAIRE yule kazi Anaijua kaka.haaahaaa tehee tehee
Watu walitamani show irudiwe
haahaa hana show offUsifanye mchezo na SILENT BILLIONAIRE yule kazi Anaijua kaka.
Thats mesema ni silent billionaire unadhan ile ghorofa ndo angejenga Bwana ndomo si tungejua tangu msingi hahahahahahaaaahaahaa hana show off