Funga mwaka na KING KIBA VIP 400,000/=(laki nne)

Funga mwaka na KING KIBA VIP 400,000/=(laki nne)

Huna hoja ... OVA
We usilazimishe tuache kilichoandikwa tukufate ww ndugu watu wana jeuri ya pesa wanaweza wakawa watatu wakachukua meza ya laki nne kwani nin?...kiba jini hilo msishindane nalo shauri yenu.
 
Show ilikua nzuri na yenye kuvutia tulio enda tulitamani awe anafanya mara kwa mara

Ila tulikua group tukijadili baada ya show kumalizika kuwa angekuwa anaalika wasanii wengi ili wajionee live band inavyotakiwa kufanywa

Mofaya ni nzuri na ya kipekee hii kwa upande wangu kwakuwa kila mtu anapenda kinywaji chake

Nilifurahi kumwona uwoya japo anakinzana na picha zake za mtandaoni

Ova..

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahaaaa angewaalika WCB wajifunze live show siyo ma cd tu hata makanisani wanaimba live hawa jamaa sijui wa wapi haahhaha
 
We usilazimishe tuache kilichoandikwa tukufate ww ndugu watu wana jeuri ya pesa wanaweza wakawa watatu wakachukua meza ya laki nne kwani nin?...kiba jini hilo msishindane nalo shauri yenu.
Kwa jeuri tu wapo wanaoweza lipia show nzima na akaingia peke yake...nini meza..?? ZUNGUMZIA KILICHOANDIKWA.... MEZA YA WATU 8 SHILINGI LAKI 4. In other words, Kila kiti ni Shilingi 50,000/- (hesabu ya kawaida tu na sioni unachobisha)

Kama mwenye jeuri atalipia meza na akakae peke yake, HAIONDOI UKWELI KWAMBA KILA MEZA NI SHILINGI LAKINI 4 na hiyo inafanya kiti kimoja katika hiyo meza ni shilingi elfu 50.

Huyo mwenye jeuri alipe basi hiyo laki 4, halafu mezani wakakae 10 aone..!!!
 
Binafsi Nlishaacha kuhudhuri Show za Hawa vijana wa Bongo Fleva

Unalipa Laki 4 yako,
Unakuja kusikilizishwa mziki wa kwenye CD.

Sharobaro juu ya steji haimbi wala nini.
Anachezesha tu MIDOMO

BORA NILIPIE TU BENDI ZA DANSI AU SEBENE NIKAONE MAUNO YA KINSHASA.

Sent using Jamii Forums mobile app
kiba anapiga live kaka huo upuuz wa playbak upo madale
 
Hizo
Kwa jeuri tu wapo wanaoweza lipia show nzima na akaingia peke yake...nini meza..?? ZUNGUMZIA KILICHOANDIKWA.... MEZA YA WATU 8 SHILINGI LAKI 4. In other words, Kila kiti ni Shilingi 50,000/- (hesabu ya kawaid atu na sioni unachobisha)

Kama mwenye jeuri atalipia meza na akakae peke yake, HAIONDOI UKWELI KWAMBA KILA MEZA NI SHILINGI LAKINI 4 na hiyo inafanya kiti kimoja katika hiyo meza ni shilingi elfu 50.

Huyo mwenye jeuri alipe basi hiyo laki 4, halafu mezani wakake 10 aone..!!!
Hizo hesabu zako kaka usitulazimishe kuamini utakavyo nakupa fact na hizo matangazo zimeandikwa hivyo mzee lete andiko lililoandikwa hiko unachosema then i will shut up
 
Back
Top Bottom