Funga mwaka: Ukweli usemwe kuhusu mambo matatu yaliyomshinda Hayati Magufuli

Mr Dudumizi

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2020
Posts
7,799
Reaction score
14,215
Habari zenu wana JF wenzangu.
Hapo chini ni mambo 10 yaliomshinda raisi Magufuli enzi za uhai wake.

1) Alishindwa kuwa mnafiki
2) Alishindwa kushirikiana na mabeberu walioinyonya nchi yetu
3) Alishindwa kuwasujudia wazungu waliojifanya kutupa misaada mbali mbali ili aruhusu ndoa za jinsia moja nk.

Nimalizie kwa kumpongeza mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe kwa kumtembelea raisi wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mama Samia S Hassan kwa mara ya tatu mfululizo kwa lengo la kulamba asali kimya kimya 🐝 huku chawa wake wakipambana kumtetea mitandaoni.

Ndugu mwana JF tambua kwamba ulambaji wa asali ni mzuri kwa afya yako πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
 

Attachments

  • images (69).jpeg
    28.1 KB · Views: 4
  • 23aafd9b-fe57-4db0-879d-66277bdd5940.jpg
    106.5 KB · Views: 6

1. Magufuli ndiye rais mnafiki kuliko wote kuwahi kutokea Tanzania. Tena afadhali wenzake walijua kufanya unafiki kijanja, yeye alifanya unafiki kijinga. Alivunja katiba aliyoapa kuitetea, waziwazi.

2. Kashirikiana na mabeberu kajibaraguza kuwabana kwenye makenika, watu wakapiga hesabu za kila mtu kupata Noah yake, kumbe mwishoni akapozwa kama mtoto mdogo.

3. Hakuna rais aliyewahi kuruhusu ndoa za jinsia moja Tanzania. Na Makonda alivyowasakama mashoga, Waziri wa Serikali ya Tanzania Dr. Mahiga alimuombea msamaha bila Magufuli kukataza hilo.
 
Si tumeshakubaliana tumwache apumzike?
 
Kuhusu Ushoga wote ccm tyrans walimakana Makonda.

Makonda alijua atapata back up akaamua kukaa kimya na yeye.
 
Hapa umeandika kijanja sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…