Funga mwaka: Ukweli usemwe kuhusu mambo matatu yaliyomshinda Hayati Magufuli

Funga mwaka: Ukweli usemwe kuhusu mambo matatu yaliyomshinda Hayati Magufuli

Katiba mpya itakimbiza nyie vikaragosi wote , ni kweli Shetani hana rafiki , lakini chadema haina urafiki na shetani
Kumbuka jamaa alisema kuwa huu ndio mwaka wake wa mwisho siasani.

Sasa ujiandae kutafuta kibarua kingine cha kukupa ugali wako wa siku. Maana huenda mwenyekiti ajae hatokuwa na pesa za kuwalipa chawa wote wa mitandaoni.
 
Attachments

  • images (39).jpeg
    images (39).jpeg
    24 KB · Views: 4
Habari zenu wana JF wenzangu.
Hapo chini ni mambo 10 yaliomshinda raisi Magufuli enzi za uhai wake.

1) Alishindwa kuwa mnafiki
2) Alishindwa kushirikiana na mabeberu walioinyonya nchi yetu
3) Alishindwa kuwasujudia wazungu waliojifanya kutupa misaada mbali mbali ili aruhusu ndoa za jinsia moja nk.

Nimalizie kwa kumpongeza mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe kwa kumtembelea raisi wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mama Samia S Hassan kwa mara ya tatu mfululizo kwa lengo la kulamba asali kimya kimya [emoji219]

Ndugu mwana JF tambua kwamba ulambaji wa asali ni mzuri kwa afya yako [emoji23][emoji1787][emoji1787]
Wewe mbona unalambwa kinyeo watu tunapiga kimya tu? Kama vipi mfuate huyu Mhutu huko jehanam
 
1. Magufuli ndiye rais mnafiki kuliki wote kuwahi kutokea Tanzania. Tena afadhali wenzake walijua kufanya unafiki kijanja, yeye alifanya unafiki kijinga. Alivunja katiba aliyoapa kuitetea, waziwazi.

2. Kashirikiana na mabeberu kajibaraguza kuwabana kwenye makenika, watu wakapiga hedabu za kila mtu kupata Noah yake, kumbe mwishoni akapozwa kama mtoto mdogo.

3. Hakuna rais aliyeeahi kuruhusu ndoa za jinsia moja Tanzania. Na Makinda alivyowasakama mashiga, Waziri wa Serikali ya Tanzania Dr. Mahiga alimuimbea msamaha bila Magufuli kukataza hilo.
Akili fupi sana hata kuandika nishida kwako.
Nyie ndio vyeti feki wenyewe.

Ukiona mtu anashindwa kunyoosha sentence zake vizuri kama wewe ujue ni standard seven failure.
 
Habari zenu wana JF wenzangu.
Hapo chini ni mambo 10 yaliomshinda raisi Magufuli enzi za uhai wake.

1) Alishindwa kuwa mnafiki
2) Alishindwa kushirikiana na mabeberu walioinyonya nchi yetu
3) Alishindwa kuwasujudia wazungu waliojifanya kutupa misaada mbali mbali ili aruhusu ndoa za jinsia moja nk.

Nimalizie kwa kumpongeza mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe kwa kumtembelea raisi wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mama Samia S Hassan kwa mara ya tatu mfululizo kwa lengo la kulamba asali kimya kimya 🐝

Ndugu mwana JF tambua kwamba ulambaji wa asali ni mzuri kwa afya yako 😂🤣🤣
Kazikwe nae Chato
 
Kumbuka jamaa alisema kuwa huu ndio mwaka wake wa mwisho siasani.

Sasa ujiandae kutafuta kibarua kingine cha kukupa ugali wako wa siku. Maana huenda mwenyekiti ajae hatokuwa na pesa za kuwalipa chawa wote wa mitandaoni.
Narudia tena , mimi ndio nailipa Chadema ili kuiwezesha kuwakomboa Watanzania
 
Unamuitaje mtu anayekwambia 'maendeleo hayana vyama' halafu ndani ya dakika moja hiyo hiyo anakulaumu umechelewesha maendeleo kwa kumchagua mbunge kutoka CHADEMA?
 
WIVU WIVU WIVU UTAKUFA BILA KUGUSA KUTA ZA IKULU
Mwenyekiti wa upinzani akishagusa na kulamba asali inatosha. Nyie wengine mbakie kuwa chawa na kutumia bando lenu wenyewe kumsifu na kumsujudia kamanda mkuu.
 
Narudia tena , mimi ndio nailipa Chadema ili kuiwezesha kuwakomboa Watanzania
Kama unategemea kuwa watanzania watakombolewa na wapinzani wa namna hii basi unakosea sana.
Ukombozi huletwa na watu makini wanaosimamia kile wanachokiamini bila kuyumba wala kuyumbishwa kwa vijiposho vidogo vidogo kama anavyopewa mwenyekiti. Wengi wetu ukiwemo wewe mwenyewe unajua kinachoendelea kwa viongozi hawa wa upinzani, sema ndo hivyo na wewe unapambania tumbo lako kwahiyo lazima ujipe upofu.
 
Attachments

  • images (1).jpeg
    images (1).jpeg
    27.8 KB · Views: 4
  • download.jpeg
    download.jpeg
    10.7 KB · Views: 4
Back
Top Bottom