Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
- Thread starter
- #61
Kweli mkuu, na pamoja na ile ya kuvunjika mguu ulevini 😂😂Hii ya kuteka mbona unajisahaulisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mkuu, na pamoja na ile ya kuvunjika mguu ulevini 😂😂Hii ya kuteka mbona unajisahaulisha
Wala haujakosea kama vile picha na maneno vinavyojionesha hapa.Mtu muongo anaingia kwenye kundi la wanafiki na waizi pia
George Weah wa Sierra leone ni rais mbonaTofautisha neno "raisi" na "mchezaji".
Mchezaji hawezi kuwa raisi, ila raisi anaweza kuwa mchezaji.
Tofautisha neno mchezaji na aliekuwa mchezaji.George Weah wa Sierra leone ni rais mbona
🙏✍️Hakika wewe ndo umeelewa na kuandika kile nilichokikusudia.
Teh teh 😂😂 una mikwara kweli kweliNarudia tena , mimi ndio nailipa Chadema ili kuiwezesha kuwakomboa Watanzania
Sio wote waliokwepa kodi kwani wale waliokua wakifuatwa na kuambiwa watoe hela walikwepa kodi na tra wanafanya nn kama walikwepa kodi ukandamizaji tu ndio uliendelea.Wafanyabiashara wakwepa kodi?
Kakurupuka hajielewi huyo [emoji23][emoji23][emoji23]BIla shaka wewe umekimbilia kuandika kabla ya kusoma nilichoandika. Hebu soma afu ndo uandike tena.
Rais George Weah wa Liberia labda kabla ya Urais alikuwa anakaanga samakiTofautisha neno "raisi" na "mchezaji".
Mchezaji hawezi kuwa raisi, ila raisi anaweza kuwa mchezaji.
Huko CCM ushoga unakubalika sanaHiyo siyo uthibitisho wa Tanzania kama taifa na jamii yote kukubali ushoga.
Kangi Lugola siyo Tanzania, vivyo hivyo CCM na serikali.
Tanzania ni wananchi kwa ujumla wao, na wana haki ya kuondoa serikali wakati wowote na nchi ikabaki salama.
Ni muhimu kutofautisha nchi/taifa, chama na serikali.
Kwa ujumla wake, watanzania hawakubali ushoga.
Jambo lolote lililokubalika rasmi kitaifa hutungiwa sheria.
Hakuna sheria inayotambua na kuruhusu ushoga.
Kelele za wanasiasa ilikuwa kujtafutia umaarufu tu.
Hawa wajinga wanadhani kila mtu chawa mganga njaa kama UVCCMNarudia tena , mimi ndio nailipa Chadema ili kuiwezesha kuwakomboa Watanzania
[emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huko CCM ushoga unakubalika sana
Tanzania na CCM ni vitu viwili tofauti kabisa.Huko CCM ushoga unakubalika sana
Kakurupa utafikiri mtu wa tumbo la kuhara anakimbilia chooni pale anapobanwa na uharo.Kakurupuka hajielewi huyo [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo ndo maana makamu mwenyekiti anakubali kulala chumba kimoja na Amsterdam huko Ubelgiji?Huko CCM ushoga unakubalika sana
Kwa sababu umetaka ligi ya lugha, twende kwenye ligi ya lugha.Akili fupi sana hata kuandika nishida kwako.
Nyie ndio vyeti feki wenyewe.
Ukiona mtu anashindwa kunyoosha sentence zake vizuri kama wewe ujue ni standard seven failure.
Ndio maana mwenyekiti anakwenda kulamba mara kwa mara ili kuendelea kuijenga afya yake.Ndugu mwana JF tambua kwamba ulambaji wa asali ni mzuri kwa afya yako [emoji23][emoji1787][emoji1787]
Mwisho wa kunukuu.
... Lugha iligoma kabisa kabisa!Habari zenu wana JF wenzangu.
Hapo chini ni mambo 10 yaliomshinda raisi Magufuli enzi za uhai wake.
1) Alishindwa kuwa mnafiki
2) Alishindwa kushirikiana na mabeberu walioinyonya nchi yetu
3) Alishindwa kuwasujudia wazungu waliojifanya kutupa misaada mbali mbali ili aruhusu ndoa za jinsia moja nk.
Nimalizie kwa kumpongeza mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe kwa kumtembelea raisi wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mama Samia S Hassan kwa mara ya tatu mfululizo kwa lengo la kulamba asali kimya kimya 🐝 huku chawa wake wakipambana kumtetea mitandaoni.
Ndugu mwana JF tambua kwamba ulambaji wa asali ni mzuri kwa afya yako 😂🤣🤣
Tena mikwara mbuzi 🤣🤣Teh teh 😂😂 una mikwara kweli kweli