Fungate (Honeymoon) ni kwa mwanamke uliyemkuta Bikira. Nje ya hapo ni bosheni. Hakuna chafungate hapo Bro

Fungate (Honeymoon) ni kwa mwanamke uliyemkuta Bikira. Nje ya hapo ni bosheni. Hakuna chafungate hapo Bro

Walioolewa bila bikra wana visirani sana, angalia comment zao 😂
 
Kumbe jamaa ndio alikata utepe, sasa hapa mbona jamaa ndio mshindi hata kama alikuwa kibamia

Akili za wanawake bhana
ukute anataka kuliliwa alafu baada ya miaka 2 atamfata sijui nisamehe ni tamaa tu nakupenda wew.
Hiv viumbe anavijua tu aliyeviumba.
 
ukute anataka kuliliwa alafu baada ya miaka 2 atamfata sijui nisamehe ni tamaa tu nakupenda wew.
Hiv viumbe anavijua tu aliyeviumba.
Wanawake akili zao wanazijua wnyw, anasema kabisa amebikiriwa na jamaa, kwa akili yake anadhani ameandika point 😂
 
Hata miaka 10 ijayo bado nitakuwa sijafikia umri wa kustaafu. Wewe Lamomy wakati waziri mkuu ni Jaji Sinde Warioba tayari ulishatamka "Wanaume wote ni mbwa" zaidi ya mara moja halafu hapa JF unajifanya GenZ. Uwe unaandika nyuzi kuhusu TANU.
😹😹😹 We kibabu mi sio mwana Afro Shiraz mwenzio unikome..!!

Nyie waasisi ndo mnatakiwa mpambanie taifa cha ajabu na huo uzee bado unafanya uchawa, wewe na mzee butiku mlitakiwa mtupambanie tupate katiba mpya lakini umeamua kujiita mama..!! 😹😹
 
Hana ubabe wowote, huyo muda wote anavizia mbunye yangu..!! 😹😹

Huyo mama ananipenda hivi hivi nilivyo sina bikra we huogopi? 😹

Mwambie akupe pesa za kizimkazi sio wale peke yao kama pesa za dhabihu ya matambiko
 
Back
Top Bottom