Fungate (Honeymoon) ni kwa mwanamke uliyemkuta Bikira. Nje ya hapo ni bosheni. Hakuna chafungate hapo Bro

Fungate (Honeymoon) ni kwa mwanamke uliyemkuta Bikira. Nje ya hapo ni bosheni. Hakuna chafungate hapo Bro

Unahasira na mimi lakini ndio nimeshakuacha bibie.
Mwanzoni nilipokukuta mtawa hukuiona pilipili mbuzi. Baada ya kujifunza ukurumbembe wakatanua ikawa BRT leo waniona pilipili kidole. Sijali na ukurumbembe wako.

Huyo aliyekuchukua wenge la nyege zikimuisha atagundua ukweli wote kuhusu mfuko wako wa akiba
Hapa mwenye hasira wewe uliyefungua uzi mtibeli 😹😹😹

Kama haijakuuma si ungepotezea uzi wa malalamiko wa nini??
 
Rafiki yako wapi?
Si useme ni wewe tu!
Hakuna wa kukuchapa hapa..!.! 😹
Kwenye haya maisha ya dhambi kwa miaka mingi nilikuwa nikiamini kuwa wewe Lamomy ni mtu mwenye akili timamu. Comments zako humu JF ndo zilinishtua kuwa sikuwa sahihi kuamini hivyo. Hili tatizo lako la ukosefu wa akili timamu ni la kurithi au ni laana ya kile kibabu ulichokilia mafao yake ukamkimbia?
 
Hawa sio wageni kwangu. Sio wageni pia JF kwa hiyo wewe tulia tuu shuhudia kinachoendelea.

Kikawaida wanawake ni wajanja kuliko wanaume wengi. Hapa utajifunza tabia zao ambazo wanawafanyia wanaume wengi lakini kwangu wanajua fika haiwezekani. Wanajua hilo. Alafu nikuibie siri kwa ndani kabisa wanatamani kuzaa watoto wakiume wawe kama Mtibeli. Wasiwe kama hao wanaume misukule wanayoiendesha na kuitumikisha

Umeongea ukweli. Wanawake wanataka wanaume wanaotoka kwenye familia zao wawe alpha male, lakini boyfriend awe simp.

Ukibambikiziwa mtoto, mwanamke ambae sio ndugu yako atakwambia kitanda hazai haramu, kosa ni la mkeo sio la mtoto. Ukimlea huyo mtoto utapata baraka. Lakini kaka yake abambakiziwe mtoto hapo wifi lazima amwagiwe moto kama dragoni.

Mwanamke alieolewa akiwa single mother na mumewe kubeba gharama zote za malezi ya mtoto aliyemkuta nae. Hawezi akafurahia mtoto wake wa kiume aoe single mother na kubeba gharama za malezi ya mtoto.
 
Alama kwa mwanaume ni ipi

Alama ya nini? Vigezo vinavyompa thamani mwanaume na mwanamke ni tofauti. Moja ya kigezo kinachompa thamani mwanamke ni past safi. Hapo ndio hiyo bikira inaangia.

Kwa mwanamke vigezo ni utiifu, past safi/bikira. Mwanaume vigezo ni uchumi na uthibiti wa maisha yake.
 
Sasa nilimwabia akaushe yeye akayaleta humu ,alitegemea mie nikae tu kimya
Hapana na hii iwe fundisho maana wanawake hawajibugi hoja humu kuogopa wanaume.

Wewe ni shujaa kujibu bila kupepesa macho na kumtwanga nyani usoni nakupongeza
 
Em pata picha nimekufunga mikono na mtandio halafu wote tuna mask…
Kisha nakumwagia asali na kukulamba na ncha ya ulimi ya motroo kuanzia chini ya mnara mpaka pale juu kisha nakupigisha kigelegele..!! 🫦

Halafu nakugusisha chuchu za moto mdomoni..!! 😹😹😹
Weeweee miye sina nauli bwana ya kumfata mwenzangu.
 
Hapa mwenye hasira wewe uliyefungua uzi mtibeli 😹😹😹

Kama haijakuuma si ungepotezea uzi wa malalamiko wa nini??
Mwenye hasira Bushmamy hadi kampiga tofali huko wasap ili wasionane.
Nampongeza sana mdogo wangu kwa kukata utepe na kuhakikisha mtoto kazama kabisa hadi penzi likawa wazi huku jf. Chezea wapare haha
 
Mwenye hasira Bushmamy hadi kampiga tofali huko wasap ili wasionane.
Nampongeza sana mdogo wangu kwa kukata utepe na kuhakikisha mtoto kazama kabisa hadi penzi likawa wazi huku jf. Chezea wapare haha
WhatsApp mtibeli alikua anajiliza yaishe ndiomana kampiga tofali..!!

Sasa kakata utepe lakini kanogewa hataki kumuacha bushmamy.
Mtibeli kaumizwa zaidi alivyoona bushmamy yuko fungate na mumewe kaona njia ya kupooza machungu alete uzi.

Halafu sio uzi mmoja ni nyingi anamuandikia bushmamy..

Si mnajitapaga humu “Oooh mwanaume wa kwanza haachwi wala hasahuliki” mbona mtibeli kaachwa na kasahulika lakini yeye bado ndo anaforce penzi lisiishe 😹😹
 
Kwenye haya maisha ya dhambi kwa miaka mingi nilikuwa nikiamini kuwa wewe Lamomy ni mtu mwenye akili timamu. Comments zako humu JF ndo zilinishtua kuwa sikuwa sahihi kuamini hivyo. Hili tatizo lako la ukosefu wa akili timamu ni la kurithi au ni laana ya kile kibabu ulichokilia mafao yake ukamkimbia?
Na iko kibabu ni wewe 😹😹
 
WhatsApp mtibeli alikua anajiliza yaishe ndiomana kampiga tofali..!!

Sasa kakata utepe lakini kanogewa hataki kumuacha bushmamy.
Mtibeli kaumizwa zaidi alivyoona bushmamy yuko fungate na mumewe kaona njia ya kupooza machungu alete uzi.

Halafu sio uzi mmoja ni nyingi anamuandikia bushmamy..

Si mnajitapaga humu “Oooh mwanaume wa kwanza haachwi wala hasahuliki” mbona mtibeli kaachwa na kasahulika lakini yeye bado ndo anaforce penzi lisiishe 😹😹
Hamna kitu, yeye angepotezea ale fungate yake, badala yake anainanga mbilimbi. Kitu imekata utepe unainanga?
 
Hamna kitu, yeye angepotezea ale fungate yake, badala yake anainanga mbilimbi. Kitu imekata utepe unainanga?
Tatizo mtibeli anapiga simu mpaka bushmamy anashindwa kula muhogo wa fungate..!!
Halafu akipokea simu analia tu bushmamy arudi hawezi kuishi bila yeye..!! 😹
 
Back
Top Bottom