Fungate (Honeymoon) ni kwa mwanamke uliyemkuta Bikira. Nje ya hapo ni bosheni. Hakuna chafungate hapo Bro

Tulia nao sasa hao na usilie lie sasa
 
Jibu swali mbn unapaniki mzee kuna sehemu nimesema nahitaji ndoa ??

Kupigwa kwako matukio kuishie huko huko utibelini sjui usangi

Humu twende kwenye hoja ya swali langu

Mbona nimekujibu tayari
. Unataka jibu gani?

Mtu akitumia fake ID, wewe jinsia yake unaitaka ya nini?
Kama anajitambulisha kama mwanamke kesho kama mwanaume jiongeze.

Fake ID ndio kazi zake.
 
Fungate ya nini ulishapakuliwa kwenye guest house huko? Ni geto moja kwa moja hamna kupoteza muda na kuharibu pesa
 
πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜„
Badala ya kujibu tuhuma za Bushmamy naona unanijazia notice

Ila nashukuru kwa upendo wako. Usije sema sina shukrani Bibie.
Mambo ya pesa hayo tafuta Ngoshaz. Mbaya zaidi nao siku hizi wanaamka. Sijui mtapata wapi misukule yenu. Hata hivyo misukule inazaliwa kila kukicha. Msihofu
 
Mbona nimekujibu tayari
. Unataka jibu gani?

Mtu akitumia fake ID, wewe jinsia yake unaitaka ya nini?
Kama anajitambulisha kama mwanamke kesho kama mwanaume jiongeze.

Fake ID ndio kazi zake.
Hili ndilo jibu sasa ndiyo maana niliuliza vile itabid tukurudshe maguful hostel ukabebe zege kwanza uache kukalia wanawake shingoni ndg mtibeli
 
Ila nashukuru kwa upendo wako. Usije sema sina shukrani Bibie.
Mambo ya pesa hayo tafuta Ngoshaz. Mbaya zaidi nao siku hizi wanaamka. Sijui mtapata wapi misukule yenu. Hata hivyo misukule inazaliwa kila kukicha. Msihofu
Wanaume wenye pesa wapo kibao na wanahonga hiyo tuachie sisi.

Usitoke kwenye mada twende sawa na Bushmamy mtanange uendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…