Na wewe hujui maana ya neno Kudanga, hebu mcheki Oni Sigara wa BASATA akwambie maana ya neno kudangaKudanga kwa tafsiri ya jamii yetu ni kutoa penzi kwa malipo.
Neno "Kudanga" limepunguza ukali wa neno umalaya lakini ni neno lenye maana moja.
Kudanga ni kufanya umalaya.
Taasisi nyingi za sirikali zimepwaya kiutendaji ikiwemo BASATA.Wimbo mbaya kuna mstari wanaimba;
'Na ukipata limama, eh likomoe
Likupe pesa huu mwaka utoboe'
Ni upuuzi wa mwisho yaani na vijana wana ukariri kama kasuku
Anapromoti kiingereza chake cha JOB TRUE TRUE,akimaanisha kazi kwelikweli.Ila mtoa mada unapost sana halafu karibu mada zote ni ujinga ujinga tuu
Dogo kichwan nati imekatikaAnapromoti kiingereza chake cha JOB TRUE TRUE,akimaanisha kazi kwelikweli.
Nani kakufuatilia Mkuu.?Kaa kwenye nafasi yako, tuheshimiane.!!
Usitake kujifanya mjuaji, unaweza ukatuwekea maana halisi ya “kudanga” au umesikia kwenye nyimbo tyr umejibeba kuja kujaza server za Mello na minyuzi yako ya kufatilia maisha ya watu.?
Danga ni neno la kibondei, nadhani tuwaulize wao lina maana gani!unajua maana ya kudanga ?
waulize basata wakwambie
Sawa katibu, mama ako anastaafu mwaka huu unaonaje tukianza kampeni mapema ili umrithi uwe mwenyekiti wetu?Nani kakufuatilia Mkuu.?
Au nawewe upo kwenye chama cha kudanga?
Zinazofungiwa ni nyimbo zinazowaanika wabadhirifu wa Tz! Nyingine zote ruksa!Kuna wimbo unaitwa "Huu Mwaka".
Kiukweli huu wimbo leo ndio mara yangu ya kwanza kuusikia. Nimeshangaa sana kusikia muimbaji akisema "Kudanga Danga sana ila usisahau kujenga kibanda"
Wimbo kama huu unawezaje kuachiwa uchezwe kwenye vyombo vya habari na wakati unahamasisha Umalaya/Kudanga kwenye jamii yetu.
RC Chalamila amekuwa anapambana kutokomeza biashara ya ngono, ameshindwaje kuuzuia huu wimbo usichezwe kwenye vyombo vya habari kwenye jamii yetu.?
Huu wimbo mtoto mdogo akiusikia unamjenga au unambomoa kimaadili?
NB: Mimi sisikilizaji Bongo Fleva ndio maana nimechelewa kujua kilichoimbwa kwenye huo wimbo.
Written by Mjanja M1
Ungeutuma ingependeza maana huo wimbo wengine hata hatuujuiKuna wimbo unaitwa "Huu Mwaka".
Kiukweli huu wimbo leo ndio mara yangu ya kwanza kuusikia. Nimeshangaa sana kusikia muimbaji akisema "Kudanga Danga sana ila usisahau kujenga kibanda"
Wimbo kama huu unawezaje kuachiwa uchezwe kwenye vyombo vya habari na wakati unahamasisha Umalaya/Kudanga kwenye jamii yetu.
RC Chalamila amekuwa anapambana kutokomeza biashara ya ngono, ameshindwaje kuuzuia huu wimbo usichezwe kwenye vyombo vya habari kwenye jamii yetu.?
Huu wimbo mtoto mdogo akiusikia unamjenga au unambomoa kimaadili?
NB: Mimi sisikilizaji Bongo Fleva ndio maana nimechelewa kujua kilichoimbwa kwenye huo wimbo.
Written by Mjanja M1
Amna nimekuwekea maana ya danga sio hiyo uliyosema wewe kasome kwenye kamusiBasi mwenyewe unajiona umeongea point! 😂
Naunga mkono hojaWimbo mbaya kuna mstari wanaimba;
'Na ukipata limama, eh likomoe
Likupe pesa huu mwaka utoboe'
Ni upuuzi wa mwisho yaani na vijana wana ukariri kama kasuku
Inasikitisha sana!Zinazofungiwa ni nyimbo zinazowaanika wabadhirifu wa Tz! Nyingine zote ruksa!
Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
Jamii inapotosha na wewe unaendelea kupotosha baada ya kutoa elimu watu wasifikiri hivyo.Kwa tafsiri ya jamii yetu neno kudanga linamaanisha nini?
Umeusikiliza huo wimbo mwanzo mpka mwisho?