Fungieni huu wimbo unahamasisha Umalaya kwenye Jamii

Kuna wimbo unaitwa "Huu Mwaka".

Kiukweli huu wimbo leo ndio mara yangu ya kwanza kuusikia. Nimeshangaa sana kusikia muimbaji akisema "Kudanga Danga sana ila usisahau kujenga kibanda"

Wimbo kama huu unawezaje kuachiwa uchezwe kwenye vyombo vya habari na wakati unahamasisha Umalaya/Kudanga kwenye jamii yetu.

RC Chalamila amekuwa anapambana kutokomeza biashara ya ngono, ameshindwaje kuuzuia huu wimbo usichezwe kwenye vyombo vya habari kwenye jamii yetu.?

Huu wimbo mtoto mdogo akiusikia unamjenga au unambomoa kimaadili?

NB: Mimi sisikilizaji Bongo Fleva ndio maana nimechelewa kujua kilichoimbwa kwenye huo wimbo.

Written by Mjanja M1
alafu baadae tena tunaitana kwenye midahalo ya kulipana posho kujadili kwanini maadili yanaporomoka siku hizi hii nchi hii...😀😀😀
 
Kuna wimbo unaitwa "Huu Mwaka".

Kiukweli huu wimbo leo ndio mara yangu ya kwanza kuusikia. Nimeshangaa sana kusikia muimbaji akisema "Kudanga Danga sana ila usisahau kujenga kibanda"

Wimbo kama huu unawezaje kuachiwa uchezwe kwenye vyombo vya habari na wakati unahamasisha Umalaya/Kudanga kwenye jamii yetu.

RC Chalamila amekuwa anapambana kutokomeza biashara ya ngono, ameshindwaje kuuzuia huu wimbo usichezwe kwenye vyombo vya habari kwenye jamii yetu.?

Huu wimbo mtoto mdogo akiusikia unamjenga au unambomoa kimaadili?

NB: Mimi sisikilizaji Bongo Fleva ndio maana nimechelewa kujua kilichoimbwa kwenye huo wimbo.

Written by Mjanja M1
ungeuweka humu huo wimbo ili tuhiridhishe na kupata wasaha mzuri kuutafakari zaid na ama kuunga mkono haja au kupinga na kupendekeza wayfoward
 
Back
Top Bottom