Fungieni huu wimbo unahamasisha Umalaya kwenye Jamii

Fungieni huu wimbo unahamasisha Umalaya kwenye Jamii

Jamii inapotosha na wewe unaendelea kupotosha baada ya kutoa elimu watu wasifikiri hivyo.
Mzee kasome mwenyewe kamusi uone maana ya neno kudanga.
Toa elimu kuhusu neno hilo na si kuleta ngonjera kubali kujifunza kuliko kusema jamii inasema nn
Aisee!
 
Kudanga kwa tafsiri ya jamii yetu ni kutoa penzi kwa malipo.

Neno "Kudanga" limepunguza ukali wa neno umalaya lakini ni neno lenye maana moja.

Kudanga ni kufanya umalaya.

Acha ujuaji mdogo wangu, uwe unauliza hakuna sehemu inayosema danga hiyo ndo maana yake.

Jamii inapotosha, ungeonekana wa maana ukaja kutuambia maana ya neno danga
 
Watawala wanapenda nyimbo za hivyo, nyimbo za kubrainwash watu ili iwe rahisi kuwatala.

N.B: watu makini wanasikiliza zaidi hip-hop
 
Wabongo wengi wanapenda ujinga ujinga...
 
Back
Top Bottom