The Garang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 2,880
- 4,830
Kwanini sikukujua mapema..!! Yaani waongo ni hatariWaongo waraka wa 2, 3-4 inasema
"siku zote ulikuwa wapi? Sijawahi pendwa kama hivi"
Kama kichwa cha habari kinavyo sema tukumbushane baadhi ya maneno naanza na waongoView attachment 2271292
nikiendelea waongo 5:47 kinasema “Mama angu anakusalimia”
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Waongo 1:1 "kuna kazi kidogo naifanya baby nikimaliza nitakucheki"