Fungua kitabu cha waongo 9:10-11

Fungua kitabu cha waongo 9:10-11

Siasa ya Waongo 5:1
"Tutatengeneza Tanzania ya viwanda kwa pesa zetu wenyewe"

Afu acheni kupondea hizo swagg za Mababes, Ukweli unaumaaa Mapenzi ni trick lazma tufarijiane kwa Maneno kataam.
Kiukwel "hakuna mrembo kama yeye" japo wapo wengi haimaanish namdanganya
 
Waraka wa waongo kwa wana Pornography 1:1 "There is a beautiful woman near your area code who wants to have sex with you "
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yeye ndiye
Screenshot_20220706-082611.jpg
 
Back
Top Bottom