Fungua kitabu cha waongo 9:10-11

Fungua kitabu cha waongo 9:10-11

Kumbukumbu la waongo 77: 77 " the beauty of a woman is in the eyes of a beholder"

Andiko hili limechakachuliwa kutoka kwenye " Kitabu cha walevi 1:1 " ambacho kinasema " THE BEAUTY OF A WOMAN IS IN THE EYES OF A BEER-HOLDER"
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Nitasoma kama ilivoandikwa.... Waongo 9:23-27 .... Ni heri wafe watu wote tubakie mimi na wewe hapa duniani....
Naona nyie Ndio waundaji wa dunia
IMG_20220623_183210.jpg

Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
 
Kumbukumbu la waongo 77: 77 " the beauty of a woman is in the eyes of a beholder"

Andiko hili limechakachuliwa kutoka kwenye " Kitabu cha walevi 1:1 " ambacho kinasema " THE BEAUTY OF A WOMAN IS IN THE EYES OF A BEER-HOLDER"
@LIKUD nimeipenda hii

Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
 
Waongo, 8:16
""Nakupenda yaani nikinywa maji nakuona kwenye glasi""
Waongo, 8.17
""Mimi ni wako wa kufa na kuzikana"
Waongo, 8.18
" Nimechelewa nilikuwa kwa Shangai anakusalimia sana"
 
Back
Top Bottom