October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
Mshajua mmeyakanyaga mwajikosha! Hehee! Sasa zile maiti mtazirudisha lini? Polepole na yule mudude mtamludisha lini?. Nye Nye wabaya sana. Walahi mtalipia.
Mwafikiri siye manyumbu wenyu. Na bado! Mwataka kunywa damu zetu. Na bado. Nye mwajua kuzaa siye wetu mwaua. Wetu nzi wenyu watoto wa malkia. Hehee heeh. Sunami taja. Na bado.