Mshajua mmeyakanyaga mwajikosha! Hehee! Sasa zile maiti mtazirudisha lini? Polepole na yule mudude mtamludisha lini? Mwajua mshawaua. Tena mmemwua polepole baada ya Oktoba 29 kwa hasira. Nye Nye wabaya sana. Walahi mtalipia. Mwafikiri siye manyumbu wenyu. Na bado! Mwataka kunywa damu zetu. Na bado. Nye mwajua kuzaa siye wetu mwaua. Wetu nzi wenyu watoto wa malkia. Hehee heeh. Sunami taja. Na bado.