Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
Wewe mwarabu eheee au muislamu ndio mnatabiaa hizi
Uislam ni dini safi, wala hauna tabia hizo.
Bora ungeishia hapo hapo kwny uarabu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mwarabu eheee au muislamu ndio mnatabiaa hizi
Uislam ni dini safi, wala hauna tabia hizo.
Bora ungeishia hapo hapo kwny uarabu.
So we mwarabu
Mtanzania, Waarabu wapo Uarabuni.
Hasira za kuolewa na usiempenda usiniletee mimi... we unapanuaje huku moyo umekunjamana blalifuu
Hahahaha umepanick,
Who told u am stressed?? Am happy with my husband and our twins, ungeelewa kwnz thread inasemaje, tulikumbushiana mambo ya past, nw we ar in present.
Hivyo hivyo jamaa linasifa halipendwi likaachia mapacha
Hahahahahaha ur insane for sure
Haahha walah tena naskia mapacha wana mkakati wao ..nipe mbinu nimjaze mtu mapacha mie
Ningekua na mdogo wng ningekupa umuoe, coz mapacha ipo kwny damu yetu, ila am da last born,
Sijui wengn wanafanyaje kupata mapacha.
Hakika mkuu[emoji15]Ulitahiriwa ukiwa umeshapevuka?
Hakika Mungu ni mwemajamani mimeipenda testimony yako. Naongeza ya kwangu hapahapa,
Sitasahau tarehe 6/6/2010 nilipata ajali ya ajabu mitaa ya sanawari. gari dogo aina ya Corrolla nilinifuata pembeni nilikokuwa natembea zangu polepole kwa miguu kuelekea kanisani, nilianguka chini na gari likaja juu yangu. Cha kushangaza niliokotwa chini ya uvungu wa gari nikiwa salama na mikwaruzo midogo midogo tu.
SITOKAA NIISAHAU HII AJALI, and I always give praise to my Lord Jesus Christ.
Vipi bado upo nae?Sitasahau siku niliyofunga ndoa na mtu nisiyempenda,
Watu walikua na furaha lkn mimi nilikua na majonzi sana.
Kusingiziwa kuna uma kuliko ukweli wenyeweAisee linauma mfano hakuna, ahsante yani siku hiyo hadi nikawawaza wafungwa wanasingiziwa.... Dah kusingiziwa kitu inauma sana na kiubinadamu huwezi jitetea ukaeleweka
Good my dearNdio dia.
Tushasahau now tupo na furaha.
sitasahu siku nimebiwa wallet na kibaka kariakoo huku namwona kabisa