Daah We KWEL Clouds damuni yaan kubishana na huyu jamaa kuhusu clouds ni sawa nakubishana na UKUTA UKUPE NJIA WAKAT MLANGO UNAUONA. Ivi Unapokea Shiling ngap kuitetea clouds humu jamii forums?heeee! nani alikuwa hamjui AMINA CHIFUPA? na ni kutokana na CLOUDS alipokuwa mtangazaji yaliwai kufanyika mashindano ya wanawake watangazaji na shirika binasfi kwa maana kwamba yaliwashirikisha wote mpaka radio Tanzania kipindi hicho bado kuwa tbc alishinda yeye,haya ninyi mnaodai eti mnamfahamu sana JIDE KABLA YA radio bomba tena super brand Tanzania,nitajieni wimbo alioutoa na ukatamba kabla ya louds au sio kwamba radio zingine zilikuwa zinasindikiza japo zilikuwepo kabla?jamani ukweli ni lazima usemwe hata kama ni mchungu Mrembo on Earth upo dada?
Swali ni "FILL IN THE BLANKS" we umejibu essay.
Ulitakiwa kutoa jina na maelezo hayo ungebaki nayo.
pumba..
Tofauti kubwa iliyopo kati ya wewe na hilo jinga lililojaa chuki ni kwamba wewe unaanza kufikiri kwanza halafu ndio unaongea, lakini tutusa lenyewe linaanza kuongea kwanza halafu ndio linafikiri.i think alifanyia pale ili auze drinks na food za nyumbani lounge maana ni faida mara mbili