Heloo
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 4,391
- 3,404
heeee! nani alikuwa hamjui AMINA CHIFUPA? na ni kutokana na CLOUDS alipokuwa mtangazaji yaliwai kufanyika mashindano ya wanawake watangazaji na shirika binasfi kwa maana kwamba yaliwashirikisha wote mpaka radio Tanzania kipindi hicho bado kuwa tbc alishinda yeye,haya ninyi mnaodai eti mnamfahamu sana JIDE KABLA YA radio bomba tena super brand Tanzania,nitajieni wimbo alioutoa na ukatamba kabla ya louds au sio kwamba radio zingine zilikuwa zinasindikiza japo zilikuwepo kabla?jamani ukweli ni lazima usemwe hata kama ni mchungu Mrembo on Earth upo dada?