FUNGUKA: Msanii gani wa Bongo ana kipaji cha rangi lakini yupo juu kwa msaada wa media?

FUNGUKA: Msanii gani wa Bongo ana kipaji cha rangi lakini yupo juu kwa msaada wa media?

heeee! nani alikuwa hamjui AMINA CHIFUPA? na ni kutokana na CLOUDS alipokuwa mtangazaji yaliwai kufanyika mashindano ya wanawake watangazaji na shirika binasfi kwa maana kwamba yaliwashirikisha wote mpaka radio Tanzania kipindi hicho bado kuwa tbc alishinda yeye,haya ninyi mnaodai eti mnamfahamu sana JIDE KABLA YA radio bomba tena super brand Tanzania,nitajieni wimbo alioutoa na ukatamba kabla ya louds au sio kwamba radio zingine zilikuwa zinasindikiza japo zilikuwepo kabla?jamani ukweli ni lazima usemwe hata kama ni mchungu Mrembo on Earth upo dada?
 
Daah We KWEL Clouds damuni yaan kubishana na huyu jamaa kuhusu clouds ni sawa nakubishana na UKUTA UKUPE NJIA WAKAT MLANGO UNAUONA. Ivi Unapokea Shiling ngap kuitetea clouds humu jamii forums?
 
mleta mada umeuliza kinyume. Wasanii karibu wote wa Bongo hawana vipaji kwa MUZIKI, zaidi ni kuganga njaa na ajira za ujanani. Ngoja msanii afike 40+ yrs utaujua ukweli.

Ungeuliza msanii gani bongo ana kipaji cha muziki ingekuwa rahisi kujibu.
 
habari ndo iyo mbona hamnijibu?wimbo gani wa jide uliowai kutamba zamani zile bila mkono wa clouds?silipwi chochote zaidi ya uzalendo,hata wewe ukionewa nitakutetea kwa nguvu zoe na hata kesi nitainunua isiyo yangu!
 
i think alifanyia pale ili auze drinks na food za nyumbani lounge maana ni faida mara mbili
Tofauti kubwa iliyopo kati ya wewe na hilo jinga lililojaa chuki ni kwamba wewe unaanza kufikiri kwanza halafu ndio unaongea, lakini tutusa lenyewe linaanza kuongea kwanza halafu ndio linafikiri.
 
Back
Top Bottom