Funguka mwanamke unaempenda humu JamiiForums

Funguka mwanamke unaempenda humu JamiiForums

Jamani mimi bora niseme ukweli tu japo linaweza likawa kosa.Ila bora niseme labda nitapata msaada mateso yapungue.

Madame S jamani Madame S nitakuwa mwehu kwa kukuwaza mimi tafadhali sikia kilio changu.
Jamani nisaidieni labda naweza sikilizwa.
 
Back
Top Bottom