Funguka mwanamke unaempenda humu JamiiForums

Funguka mwanamke unaempenda humu JamiiForums

Haya wale universal lovers njooni tukutane hapa....Unspecified love...we love beyond the horizon, at most unconditionally!
 
Lara 1 katikati ya usingizi nakuwaza...., sili sinywi sijakuwaza, jamiiforum umenileta wewe....,
 
Mimi nampenda sana mwanamke anayeitwa
" Mrembo"
 
Duh! Kuna watu nilikuwa najua ni me kumbe ni ke [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unaweza ukajikuta unaingia choo cha watoto
 
Nibakshieni.... Maana haya majina ya humu... [emoji87][emoji87]... Unaweza.. Dhania ni KE kumbe ME.... Mambo ya kuanza kuomba poo me siwezi.....
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Mimi nawapenda wote,humo kuna mama Dada na shangazi zangu jf,raga tupu
 
Back
Top Bottom