Funguka mwanamke unaempenda humu JamiiForums

Funguka mwanamke unaempenda humu JamiiForums

Kama "Divine" ni mwanamke... habari hii imfikie....much love kwake....naomba Dada Heaven Sent ufikishe taarifa hii.....
Amesema amri kuu ni Upendo, hivyo anawapenda sana pia.

Ila Azarel Kwa nini umehisi yeye ni mmama?
Ila kweli huyo Divine anaonekana amesimama sana kiroho na hofu ya mungu as well.

ILA sasa unaweza kukuta ni mmama mke ya mutu....si kijana mwenzetu.

May God bless her.
 
Aisee wengine tukaoge maji ya magadi ,yaani katika mamima ya watu usipate hata mmja wa kukupenda uwiiiiii
 
Kuna mdada moja mashallah mrembo by nature jina limenitoka lakini nakumbuka aliimba wimbo flani nimesahau pia jina. Uzuri nakumbuka baadhi ya mistari ya wimbo wake "moyo wangu tembea Na yulee (Na Yule) namwamini saaaana, macho yangu tazame yuleX2 eee nampendaga sana " . Kama kuna anayemfahamu naomba amfikishie salamu zangu
 
Back
Top Bottom