Funguka mwanamke unaempenda humu JamiiForums

Mwanamke gani ambae hajatajwa so far ili nimtaje?[emoji45] [emoji45] [emoji45]
 
Sijui nani anaweza kudeka, maana napenda kudekeza.....
 
Mi nawapenda wengi but according na wanacho kiandikaga the first one is miss natafuta
 
Mimi cjaelewa huu Uzi......kichwa cha mada kinasema funguka mwanamke but nashangaa naona comments za vidume....

Swali kwa mleta mada

Huu uzi ni wa wote yaani wanaume na wanawake?
 
Muwaanzishie uzi na wanawake nao wachague wanaume wanaowapenda nao wana mioyo jamani
 
Dah mm namkubari Sana rubii...RUBII popote uonapo post hii pokea Salam zang mama, nakupenda..❤
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…