Blessingmore
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 377
- 394
ha ha ha ha ha kwakweli bora iwe hivyo.!!!..nikileta majina tu watasema nasingizia nascreen shot, πππHahahaaaaa!!! Kwakweli na uwe tu mchochezi!
Pole sana Mkuu, kutokutajwa kwako na hisi jina linachangia....linatuogopesha mno, si unaju kidogo lifanane na yule ***** .in laden?...heaven forgive me...Siamini kama sijatajwa hata na mmoja sasa nyie ambao mnanijipendekeza PM na maneno teletele nawapa 24hrs msipokuja hapa na Screen shot naleta majina yenu hapa!! Kumbe wanaume ni waongo hivyoπππππ NA NIWE TU MCHOCHEZI HAINA NENO!!
She ...Kajina fulani hivi amazing
Wow stay blessed my dear,Heaven Sent na Nifa
AmenWow stay blessed my dear,
basi mkuu usi screenshot watu taaibika hapa...Siamini kama sijatajwa hata na mmoja sasa nyie ambao mnanijipendekeza PM na maneno teletele nawapa 24hrs msipokuja hapa na Screen shot naleta majina yenu hapa!! Kumbe wanaume ni waongo hivyoπππππ NA NIWE TU MCHOCHEZI HAINA NENO!!
basi mkuu usi screenshot watu taaibika hapa...
mimi penda sana asmaa80[/QUOTE
ha ha ha ha nimecheka, mpaka nitishie maisha ndo unipendeππ, acha kuwatetea.
ha ha ha ah ah mmmh!! haya bwana labda ni hivyo.. ila kwa hao walo PM Walijua walichokuwa wanakiata lol.Pole sana Mkuu, kutokutajwa kwako na hisi jina linachangia....linatuogopesha mno, si unaju kidogo lifanane na yule ***** .in laden?...heaven forgive me...
Kwanza samahani, kama mtu alikujia PM ukampiga chaga hapa unataka akutake kwa lipi? huo ndio MUUGIZA sasaπππππha ha ha ah ah mmmh!! haya bwana labda ni hivyo.. ila kwa hao walo PM Walijua walichokuwa wanakiata lol.
Mmmh jamani, Lakini si alinipenda basi angalau angesema nilimpenda lakini kanipiga changa lol..... Sikutegemea kama wote hakuna ambae ameshindwa kujizuia nakutamka, ni wazi wana wengi wanao wazimikia, aisee abarikiwe aloweka hii thread!! ILA NAWAPA MASAA 24, Wajitokeze wanitoe Gundu lolKwanza samahani, kama mtu alikujia PM ukampiga chaga hapa unataka akutake kwa lipi? huo ndio MUUGIZA sasaπππππ
Yaani Jf ina members 349 869, wewe una miaka 6 humu ndani...hivi ni kweli kwamba hakuna aliyekutoa gundu au unatafuta kiki?...anyway ata mimi nasubiri hizi 24hrs zipite...usisaha kunitag utakapo chukua hatua.Mmmh jamani, Lakini si alinipenda basi angalau angesema nilimpenda lakini kanipiga changa lol..... Sikutegemea kama wote hakuna ambae ameshindwa kujizuia nakutamka, ni wazi wana wengi wanao wazimikia, aisee abarikiwe aloweka hii thread!! ILA NAWAPA MASAA 24, Wajitokeze wanitoe Gundu lol
yani Gundu japo la kunitaja tu lol..Ntakutag ila hakikisha una bando la kutosha.Yaani Jf ina members 349 869, wewe una miaka 6 humu ndani...hivi ni kweli kwamba hakuna aliyekutoa gundu au unatafuta kiki?...anyway ata mimi nasubiri hizi 24hrs zipite...usisaha kunitag utakapo chukua hatua.
Kah! bando la kutosha tena? mimi nanunua net ya kutumia mwaka mzima kwahiyo usiwe na wasi wasi hii ni september.yani Gundu japo la kunitaja tu lol..Ntakutag ila hakikisha una bando la kutosha.