Heavy Weight
JF-Expert Member
- Mar 1, 2014
- 888
- 885
Yule ulomtukana pm ulimvunja moyo hadi ulimfanya akose hamu ya kuingia jf angekuepo angekutaja endelea kuomba alog in ili akutaje [emoji32][emoji54]Siamini kama sijatajwa hata na mmoja sasa nyie ambao mnanijipendekeza PM na maneno teletele nawapa 24hrs msipokuja hapa na Screen shot naleta majina yenu hapa!! Kumbe wanaume ni waongo hivyo🙁🙁🙁🙁🙁 NA NIWE TU MCHOCHEZI HAINA NENO!!