Funguka mwanamke unaempenda humu JamiiForums

Funguka mwanamke unaempenda humu JamiiForums

Siamini kama sijatajwa hata na mmoja sasa nyie ambao mnanijipendekeza PM na maneno teletele nawapa 24hrs msipokuja hapa na Screen shot naleta majina yenu hapa!! Kumbe wanaume ni waongo hivyo🙁🙁🙁🙁🙁 NA NIWE TU MCHOCHEZI HAINA NENO!!
Yule ulomtukana pm ulimvunja moyo hadi ulimfanya akose hamu ya kuingia jf angekuepo angekutaja endelea kuomba alog in ili akutaje [emoji32][emoji54]
 
Yaani Jf ina members 349 869, wewe una miaka 6 humu ndani...hivi ni kweli kwamba hakuna aliyekutoa gundu au unatafuta kiki?...anyway ata mimi nasubiri hizi 24hrs zipite...usisaha kunitag utakapo chukua hatua.
Nimtaja mm asmaa80 siku 2 zilizopita rajea post namba [HASHTAG]#170[/HASHTAG] kwenye huu uzi..hana gundu wapo tunamkumbuka though wiki nzima hakuingia JF
 
Nimtaja mm asmaa80 siku 2 zilizopita rajea post namba [HASHTAG]#170[/HASHTAG] kwenye huu uzi..hana gundu wapo tunamkumbuka though wiki nzima hakuingia JF
Tatizo hukumtag mkuu...ila umeokoa sana maana kilichokuwa kimepangwa kufanyika kama asingetajwa naona Mungu ameamua kiwe siri yake huko juu.
 
Tatizo hukumtag mkuu...ila umeokoa sana maana kilichokuwa kimepangwa kufanyika kama asingetajwa naona Mungu ameamua kiwe siri yake huko juu.
Comments 555 nimemtaja asmaa80 peke yangu. Bora nimeokoa jahazi, kwa maana nyingine sina mpinzani
 
Back
Top Bottom