Heavy Weight
JF-Expert Member
- Mar 1, 2014
- 888
- 885
Yule ulomtukana pm ulimvunja moyo hadi ulimfanya akose hamu ya kuingia jf angekuepo angekutaja endelea kuomba alog in ili akutaje [emoji32][emoji54]Siamini kama sijatajwa hata na mmoja sasa nyie ambao mnanijipendekeza PM na maneno teletele nawapa 24hrs msipokuja hapa na Screen shot naleta majina yenu hapa!! Kumbe wanaume ni waongo hivyo🙁🙁🙁🙁🙁 NA NIWE TU MCHOCHEZI HAINA NENO!!
rudi post na [HASHTAG]#170[/HASHTAG] kwenye huu uzi 2days agoyani Gundu japo la kunitaja tu lol..Ntakutag ila hakikisha una bando la kutosha.
Nimtaja mm asmaa80 siku 2 zilizopita rajea post namba [HASHTAG]#170[/HASHTAG] kwenye huu uzi..hana gundu wapo tunamkumbuka though wiki nzima hakuingia JFYaani Jf ina members 349 869, wewe una miaka 6 humu ndani...hivi ni kweli kwamba hakuna aliyekutoa gundu au unatafuta kiki?...anyway ata mimi nasubiri hizi 24hrs zipite...usisaha kunitag utakapo chukua hatua.
Tatizo hukumtag mkuu...ila umeokoa sana maana kilichokuwa kimepangwa kufanyika kama asingetajwa naona Mungu ameamua kiwe siri yake huko juu.Nimtaja mm asmaa80 siku 2 zilizopita rajea post namba [HASHTAG]#170[/HASHTAG] kwenye huu uzi..hana gundu wapo tunamkumbuka though wiki nzima hakuingia JF
Comments 555 nimemtaja asmaa80 peke yangu. Bora nimeokoa jahazi, kwa maana nyingine sina mpinzaniTatizo hukumtag mkuu...ila umeokoa sana maana kilichokuwa kimepangwa kufanyika kama asingetajwa naona Mungu ameamua kiwe siri yake huko juu.
Hata mimi nakuonea wivu mkuu....ila lazima niapply Fongolism.Comments 555 nimemtaja asmaa80 peke yangu. Bora nimeokoa jahazi, kwa maana nyingine sina mpinzani
Beautiful indeed. ..what a wonderful world!Love u ma darling..[emoji173] [emoji172] [emoji171] [emoji169] [emoji170]
Aiseeee afadhaliUsihofu wala huna haja ya kuoga maji ya magadi nipo hapa, fungua nshafika
hahahahaaaaaaa,pole mkuuTatizo ni kwamba baadhi yenu majina hayako bayana kama ni +ke au +me. Watu wanaogopa kujichanganya na kujikuta wakishikishwa UKUTA (na kuomba po!)
Kwamba unanicheka au[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sijacheka sanaa kidogo tuuKwamba unanicheka au
Mimi sijapendwa jamn kwanin