Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,684
- 28,777
Huo ugali wa muhogo namtama mbona sipatani nao sasa! UwiiiJamani jamani utanifanya nikose msukuma humu ujue, usinifanyie hivyo.
Hahahaaaaa!! Wa muhogo na mtama nilinawa mikono, aisee ugali kazi kuupika ule!