kui
JF-Expert Member
- Mar 2, 2009
- 6,467
- 6,499
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magoti tena, si atapitiliza adondoke huyu!Ndo nakusubiri ufike, kuna wakina bibi wa kisukuma hapa wako tayari kukueleza vizuri, uanze na ku practice kupiga goti mpaka chini usije shangaza wasukuma bure maana nyie hamnaga mambo ya kupiga goti. 🙂
Magoti tena, si atapitiliza adondoke huyu!
Yale magoti yenu nayo sifa khaaaaah!! Nakumbuka niliwahi lambwa kofi na bibi na uzee huu kisa nilisalimia bila kupiga magoti!!Tehe! 😀😀😀😀😀
Jamani atoto usimtishe buana, halafu sijui ataweza kweli, unajua magoti ya kisukuma ni yale ya kwenda mpaka chini kabisa karibu uguse floor. Sasa mchaga huyu itabidi aanze kujifunza sarakasi kabsa!
CC Valentina
Huhuuuu
Niffa
Yale magoti yenu nayo sifa khaaaaah!! Nakumbuka niliwahi lambwa kofi na bibi na uzee huu kisa nilisalimia bila kupiga magoti!!
Nilisalimia nikiwa nimekauka nikastukia kofi hata sikuelewa ni la nini, nikasikia tu 'hiyo adabu ya wapi hata hupigi goti?' from there nikawa najistukia.Really?!, hahahaaa pole zako mbona!
Mwenzio goti lilikuwa kama vile kunywa maji, yaani mpaka shule walikuwa wananishangaa...lol
Nilisalimia nikiwa nimekauka nikastukia kofi hata sikuelewa ni la nini, nikasikia tu 'hiyo adabu ya wapi hata hupigi goti?' from there nikawa najistukia.
Bibi mkoloni yule, yaani kila utakachofanya anakukosoa.Tehe!, teh!, pole Zako bible...lol!
Teh msinichekeshe jamani. Kuna siku nipo mujini, maeneo karibu na home nikakutana na mbaba mtu mzima. Basi nikajikuta nimeshusha tu goti kidogo. Yule mbaba (msukuma) akanishangaa, akaniuliza kabila langu coz anajua wasukuma tu ndo wanapiga magoti. Sio kutaka niwe mchumba wa mwanae khaaaReally?!, hahahaaa pole zako mbona!
Mwenzio goti lilikuwa kama vile kunywa maji, yaani mpaka shule walikuwa wananishangaa...lol
Nilisalimia nikiwa nimekauka nikastukia kofi hata sikuelewa ni la nini, nikasikia tu 'hiyo adabu ya wapi hata hupigi goti?' from there nikawa najistukia.
Hata wanyakyusa wana hayo magoti aisee, kuna dada tulikuwa tunamshangaa ofisini anasalimia hadi wadogo alafu hilo goti sasa hadi chini[emoji134]Teh msinichekeshe jamani. Kuna siku nipo mujini, maeneo karibu na home nikakutana na mbaba mtu mzima. Basi nikajikuta nimeshusha tu goti kidogo. Yule mbaba (msukuma) akanishangaa, akaniuliza kabila langu coz anajua wasukuma tu ndo wanapiga magoti. Sio kutaka niwe mchumba wa mwanae khaaa
Yeah wanyaki tena na magoti. Siku hizi naona ndo nimezidi sijui, akija mgeni ntasalimia kwa goti chini kabisaa, hadi salamu imeisha. Nipo mdogo alikuja mgeni, nikapiga goti la kisasa weee, bibi alinikandamiza hilo goti hadi chiniHata wanyakyusa wana hayo magoti aisee, kuna dada tulikuwa tunamshangaa ofisini anasalimia hadi wadogo alafu hilo goti sasa hadi chini[emoji134]
Teh msinichekeshe jamani. Kuna siku nipo mujini, maeneo karibu na home nikakutana na mbaba mtu mzima. Basi nikajikuta nimeshusha tu goti kidogo. Yule mbaba (msukuma) akanishangaa, akaniuliza kabila langu coz anajua wasukuma tu ndo wanapiga magoti. Sio kutaka niwe mchumba wa mwanae khaaa
We bora ulikandamizwa, mie nilipewa kofi la haja, alafu la kustukiza si unajua linavyouma!!Yeah wanyaki tena na magoti. Siku hizi naona ndo nimezidi sijui, akija mgeni ntasalimia kwa goti chini kabisaa, hadi salamu imeisha. Nipo mdogo alikuja mgeni, nikapiga goti la kisasa weee, bibi alinikandamiza hilo goti hadi chini
Weeee nijikute tu. Kumbe yule mzee mwenyewe wake zake wapo usukumani kawaacha huko. Yupo tu town anakodoaHehehe!, ungekuwa tu, wifi yangu tena...lol!
Kama nakuona ulivyotoa mijichoWe bora ulikandamizwa, mie nilipewa kofi la haja, alafu la kustukiza si unajua linavyouma!!