Funguka mwanamke unaempenda humu JamiiForums

Ndo nakusubiri ufike, kuna wakina bibi wa kisukuma hapa wako tayari kukueleza vizuri, uanze na ku practice kupiga goti mpaka chini usije shangaza wasukuma bure maana nyie hamnaga mambo ya kupiga goti. 🙂
Magoti tena, si atapitiliza adondoke huyu!
 
Mchagua chema daima hakulupuki, atakae salia huyo ndo bora zaidi kwangu
 
Magoti tena, si atapitiliza adondoke huyu!

Tehe! 😀😀😀😀😀

Jamani atoto usimtishe buana, halafu sijui ataweza kweli, unajua magoti ya kisukuma ni yale ya kwenda mpaka chini kabisa karibu uguse floor. Sasa mchaga huyu itabidi aanze kujifunza sarakasi kabsa!

CC Valentina
 
Yale magoti yenu nayo sifa khaaaaah!! Nakumbuka niliwahi lambwa kofi na bibi na uzee huu kisa nilisalimia bila kupiga magoti!!
 
Really?!, hahahaaa pole zako mbona!

Mwenzio goti lilikuwa kama vile kunywa maji, yaani mpaka shule walikuwa wananishangaa...lol
 
Nilisalimia nikiwa nimekauka nikastukia kofi hata sikuelewa ni la nini, nikasikia tu 'hiyo adabu ya wapi hata hupigi goti?' from there nikawa najistukia.
 
Teh msinichekeshe jamani. Kuna siku nipo mujini, maeneo karibu na home nikakutana na mbaba mtu mzima. Basi nikajikuta nimeshusha tu goti kidogo. Yule mbaba (msukuma) akanishangaa, akaniuliza kabila langu coz anajua wasukuma tu ndo wanapiga magoti. Sio kutaka niwe mchumba wa mwanae khaaa

Hata wanyakyusa wana hayo magoti aisee, kuna dada tulikuwa tunamshangaa ofisini anasalimia hadi wadogo alafu hilo goti sasa hadi chini[emoji134]
 
Mimi nampenda sana FaizaFoxy. [emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji3][emoji3][emoji3][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Hata wanyakyusa wana hayo magoti aisee, kuna dada tulikuwa tunamshangaa ofisini anasalimia hadi wadogo alafu hilo goti sasa hadi chini[emoji134]
Yeah wanyaki tena na magoti. Siku hizi naona ndo nimezidi sijui, akija mgeni ntasalimia kwa goti chini kabisaa, hadi salamu imeisha. Nipo mdogo alikuja mgeni, nikapiga goti la kisasa weee, bibi alinikandamiza hilo goti hadi chini
 
Teh msinichekeshe jamani. Kuna siku nipo mujini, maeneo karibu na home nikakutana na mbaba mtu mzima. Basi nikajikuta nimeshusha tu goti kidogo. Yule mbaba (msukuma) akanishangaa, akaniuliza kabila langu coz anajua wasukuma tu ndo wanapiga magoti. Sio kutaka niwe mchumba wa mwanae khaaa

Hehehe!, ungekuwa tu, wifi yangu tena...lol!
 
Yeah wanyaki tena na magoti. Siku hizi naona ndo nimezidi sijui, akija mgeni ntasalimia kwa goti chini kabisaa, hadi salamu imeisha. Nipo mdogo alikuja mgeni, nikapiga goti la kisasa weee, bibi alinikandamiza hilo goti hadi chini
We bora ulikandamizwa, mie nilipewa kofi la haja, alafu la kustukiza si unajua linavyouma!!
 
Back
Top Bottom