Funguka mwanamke unaempenda humu JamiiForums

Yaani nikikumbukaga nacheka, kuna siku nikamtania, nikamwambia 'lazima lile kofi nikurudishie mke mwenza', akanijibu 'thubutu kama haujalazwa!!'

Nimemmiss kweli bibi yangu.
Sijui Kwa nini nimehisi kuwa bibi yako ndo kakurithisha ukorofi[emoji134] [emoji134] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…