Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Yaani nikikumbukaga nacheka, kuna siku nikamtania, nikamwambia 'lazima lile kofi nikurudishie mke mwenza', akanijibu 'thubutu kama haujalazwa!!'Kama nakuona ulivyotoa mijicho
Nimemmiss kweli bibi yangu.