Funguka mwanamke unaempenda humu JamiiForums

Funguka mwanamke unaempenda humu JamiiForums

Oh Pato wangu Mzee wa Old schools [emoji23][emoji23][emoji23]
One love [emoji7]
Cos there's a shining through
I see your true colors
And that's why I love you
So don't be afraid to let them show
Your true colors, true colors
True colors are beautiful,
Beautiful, like a rainbow
 
asmaa80 njoo hapa, kumbe kuna mtu alikutoa gundu mkuu sema hakukutag ndio maana hujaona...wana bahati sana zilibaki dk 54 kabla ya kutimia 24hrs.Bila shaka wangekiona cha mtema kuni.
ha ha ha ha ha ha ha umenichekesha wewe, Aisee hii kweli sijaona ila nawe una moyo yaani umeena kutafuta mpaka umepata mtu alonitaja, yani ni amewaokoa wenzake kwakweli ila ngoja niangaalia mida na tarehe isije ikawa baada ya kutoa hali ya hatari lol.
 
Nimtaja mm asmaa80 siku 2 zilizopita rajea post namba [HASHTAG]#170[/HASHTAG] kwenye huu uzi..hana gundu wapo tunamkumbuka though wiki nzima hakuingia JF
ha ha ha nisamehe basi hata sijaona, namie "NAKUPENDA PIA"
 
Yule ulomtukana pm ulimvunja moyo hadi ulimfanya akose hamu ya kuingia jf angekuepo angekutaja endelea kuomba alog in ili akutaje [emoji32][emoji54]
Yani kama ingekuwa nawatukana hata nisingelalamika ningekujua kosa langu ha ha ha ila nimewasamee wameokoka mana nimetajwa kumbe mara moja, hasira zimeisha lol🙂🙂
 
Back
Top Bottom