Funguka mwanamke unaempenda humu JamiiForums

Funguka mwanamke unaempenda humu JamiiForums

naruhusiwa kumtaja hata mke wangu wa kiukweli kwelii?
 
ha ha ha ha ha ha ha umenichekesha wewe, Aisee hii kweli sijaona ila nawe una moyo yaani umeena kutafuta mpaka umepata mtu alonitaja, yani ni amewaokoa wenzake kwakweli ila ngoja niangaalia mida na tarehe isije ikawa baada ya kutoa hali ya hatari lol.
Kuna waliojisalimisha PM kama wale watu wa Vikindu walivyojisalimisha Polisi...wameomba radhi kwa kuto kukutaja hadarani...lakini nilipitia post zote ili kujihakikishia,,,,ndipo
nikaona Ndugu bo adams amekutoa gundu...Kwa shujaa alioonesha Mkuu bo adams natangaza kutengua adhabu kwa watuhumiwa wote....bo adams hongera Mkuu.
 
ha ha ha ha kwakweli nimewasamehe, bo adams kawasaidia lol.
 
Humu hatari yake unaweza taja ID ya mtu ukidhani ni mwanamke, kumbe ni mwanaume mwenzangu.

Jambo la pili, wengine wake za watu, na wanajuana ID zao, unaweza sababisha mtafaruku huko walipo, kumbe hata hamjuani.

Kwa upande wangu, sijui kama walishatajwa, ila nawapenda sana hawa nitakaowataja, kwa level sawa, usiangalie namba. Nafurahia sana comment zao, yaani zina faraja na upole kwa mbali kidogo, nao ni hawa;

1. Christina Ibrahim

2. Patience 123

3. Sky Eclat

Nawapenda sana hawa. Bila shaka sijakera mtu, nimejibu kutokana na maada iliyopo hewani.

Ahsante!
 
Jimama26 - mtoto wa Tanga, msomi, mjenga hoja maridadi ajabu, mchacharikaji, mwanaharakati, mpenda familia, mrembo wa haja, mzalendo...Oh! Basi tu yaani. Mungu Anajua!
 
Nothing to say more, I[emoji173] u

Namhala. Naona mambo siyo mabaya. Naomba angalau niwe best man tu siku ile tukufu ili niweze kumwona shemeji ISIS kwa ukaribu. Hata kuchangia maziku kadhaa kwa ajili ya mahari niko tayari. Safi sana!
 
Back
Top Bottom