busy bees
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 2,249
- 1,340
Sandra utasababsha watu watoane macho ww [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Na wadada mtuekee uzi wetu sasa na ss tuonyeshe tuwapendao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sandra utasababsha watu watoane macho ww [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Na wadada mtuekee uzi wetu sasa na ss tuonyeshe tuwapendao
[emoji4][emoji4] hata kujifikiria kuwa inaweza kuwa wewe ?Hahaha nani huyo? Nimeshindwa ku-guess kweli
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sandra utasababsha watu watoane macho ww [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ha ha kumbe naweza nikawa nimefanana naye?[emoji4][emoji4] hata kujifikiria kuwa inaweza kuwa wewe ?
Wengine hivo vicheko hatutakuwanavyo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mtavimba sio kwa kutokutajwa?Wengine hivo vicheko hatutakuwanavyo
Haha kuna vitu fulani nafuatilia kwake nikisha viona naweza kukufananisha naye ,kuna vitu fulani mnaendana sanaHa ha kumbe naweza nikawa nimefanana naye?
Hahaha haya uncleHaha kuna vitu fulani nafuatilia kwake nikisha viona naweza kukufananisha naye ,kuna vitu fulani mnaendana sana
Yaan .... we acha tu .... tutakodoa mimacho tukisubiria fulan japo akosee kdogo tu .... busy bees .... itajwe THUBUTU [emoji1] [emoji1] [emoji12] [emoji12]Mtavimba sio kwa kutokutajwa?
[emoji3] [emoji3] afu mbona huo uzi upo hukutajwa kweli[emoji12]Yaan .... we acha tu .... tutakodoa mimacho tukisubiria fulan japo akosee kdogo tu .... busy bees .... itajwe THUBUTU [emoji1] [emoji1] [emoji12] [emoji12]
Labda kanitaja Sandra [emoji1] [emoji1] [emoji12] [emoji12][emoji3] [emoji3] afu mbona huo uzi upo hukutajwa kweli[emoji12]
Haha ngoja nkautafute basi nkutajeLabda kanitaja Sandra [emoji1] [emoji1] [emoji12] [emoji12]
Hadi Sandra ananionea huruma .... jamaniHaha ngoja nkautafute basi nkutaje
Uhiii hakuna ninaye fanana naye hata mmoja humu.Hahaha ngoja kwanza niwe atleast 70% Sure ntakuambia
Dada ninaye kufananisha naye ni wa humu Jf
Kufanana kupo kwa aina nyingi dada yangu , kuanzia aina ya ushauri mtu anaotoa ,kuwa na hofu ya Mungu jambo ambalo ni nadra sana kwa watu wengi wa miaka hii ,Heaven Sent na Divine mnafanana kwa mengi ,hata majina yenu pekee yanatoa taswira ni watu wa namna ganiUhiii hakuna ninaye fanana naye hata mmoja humu.
Na kwel fanya uchunguz vzr maana, sina uhakika na huko kunifananisha
Ah ah ah huyo ni rafiki yangu wa muda toka primary.Kufanana kupo kwa aina nyingi dada yangu , kuanzia aina ya ushauri mtu anaotoa ,kuwa na hofu ya Mungu jambo ambalo ni nadra sana kwa watu wengi wa miaka hii ,Heaven Sent na Divine mnafanana kwa mengi ,hata majina yenu pekee yanatoa taswira ni watu wa namna gani
Oh kwa hiyo sikukosea kuwafananisha ? Kwa haraka hapa Jf siwezi kuwataja watu kumi tu wa aina yenuAh ah ah huyo ni rafiki yangu wa muda toka primary.
Benchi moja tulipotezana tumekuja kumeet Jf bila kujua na kila siku tulikua tunachat bila kujuana
Kuna siku moja ndio tukaja kufahamu kuwa tunafahamiana
Nyuz za mshana zilituunganisha kwa Neema ya Mungu