Funguka mwanamke unaempenda humu JamiiForums

Yaan .... we acha tu .... tutakodoa mimacho tukisubiria fulan japo akosee kdogo tu .... busy bees .... itajwe THUBUTU [emoji1] [emoji1] [emoji12] [emoji12]
[emoji3] [emoji3] afu mbona huo uzi upo hukutajwa kweli[emoji12]
 
Uhiii hakuna ninaye fanana naye hata mmoja humu.

Na kwel fanya uchunguz vzr maana, sina uhakika na huko kunifananisha
Kufanana kupo kwa aina nyingi dada yangu , kuanzia aina ya ushauri mtu anaotoa ,kuwa na hofu ya Mungu jambo ambalo ni nadra sana kwa watu wengi wa miaka hii ,Heaven Sent na Divine mnafanana kwa mengi ,hata majina yenu pekee yanatoa taswira ni watu wa namna gani
 
Ah ah ah huyo ni rafiki yangu wa muda toka primary.
Benchi moja tulipotezana tumekuja kumeet Jf bila kujua na kila siku tulikua tunachat bila kujuana

Kuna siku moja ndio tukaja kufahamu kuwa tunafahamiana

Nyuz za mshana zilituunganisha kwa Neema ya Mungu
 
Oh kwa hiyo sikukosea kuwafananisha ? Kwa haraka hapa Jf siwezi kuwataja watu kumi tu wa aina yenu
Niliwaona kwenye ule uzi wa Malango Mkafanyike kuwa baraka katika familia zenu na wengine walio wazunguka
 
Back
Top Bottom