Funguka mwanamke unaempenda humu JamiiForums

Wakuu ebu nipeni njia za kuwapenda hao wanawake wa jf mnaowazungumzia , miaka sasa lakini hao wanawake nimeishia kuwajua kwa majina tu ambayo kwa asilimia kubwa ni fake IDs asa hapo mapenzi ndio yanatokea wapi????
 
Yaani Una fall in love na muandiko ndugu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mimi namtaka huyu!![emoji116]
 
Attachments

  • tapatalk_1492352654296.jpeg
    tapatalk_1492352654296.jpeg
    8.2 KB · Views: 57
Back
Top Bottom