Funguka: Tangu uanze kutongoza/kutongozwa hapa JF, umefanikiwa mara ngapi?

Yaani siku itokee tuonane uso kwa uso unaweza shangaa jamani huyu ndiye yule guu limepasuka kama lami [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila humu wote matajiri ujue labda me na wewe tu ndio masikini
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila humu wote matajiri ujue labda me na wewe tu ndio masikini
Haya ngoja tuwe masikini lakini tutakuwa wasafi kuzidi hao matajiri
 
Inaonekana ata maana ya kutongoza hujui/huelewi aliyekwambia kutongoza ni kumfuata mtu pm na kumwambia unampenda nani??

Kutongoza kwa hivyo kwa wale jamii ya pimbi na huwa wanaishia vibuti vya mbavuu..
Umeninote vibaya sijamaanisha kutongoza ni kumfata mtu pm btw wacha tu kubishana na mimi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila humu wote matajiri ujue labda me na wewe tu ndio masikini
Maisha ya kuigiza[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Maisha ya kuigiza[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndiyo yale kutwa na bahasha mikononi na mabage mgongoni utazani wazamiaji bora hata ke huweka lipshine, poda n.k ss wenzetu sijui huweka nini wananuka majasho hao[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hhheeeeee sawa kabisa
 
Sifa ya beberu kiarufu sasa wewe mdada mdada unuke uchi utakimbiwa mpk ushangae.
 
Ushamba tu, unakusumbua sasa tuliokulana haituumi wewe unawashwa umekunwa wapi??
 
Ushamba tu, unakusumbua sasa tuliokulana haituumi wewe unawashwa umekunwa wapi??
Mshamba wewe unayejiita bigmind na sophist.

Sophists donot callthemselves sophists,they are too sophisticated for that.

Anyone calling himself a sophist is a charlatan, a snake's oil salesman, a pretender, an usurper.
 
Huhuhuh...! Sawa mjukuu wa malkia, english kwangu sawa na kisukuma au kichagga. Haina ata radha. Wanao kunana wasiwashwe wewe umewashwa wapi bila kukunwa..!

Pishia mbali usijenitafutia ban..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…