Funguka: Tangu uanze kutongoza/kutongozwa hapa JF, umefanikiwa mara ngapi?

Uko vizuri kamatia chini, kamatia chini..?
 
Bado kwa thread na comments hizi kuna wadada watakubali kuchubuliwa😉😉

Ila wanaojitambua hamuwapati teeena,,hehe
usinifikirie hivyo kama alivyosema mleta uzi [emoji52][emoji52][emoji52][emoji52]
 
Wamekusikia mkuu wenye ujumbe wao me ndio mana mambo hizi naogopa sana yaan acha tuendelee kuwa waoga tu mtu anataka kukujua ili akuchunguze ulivyo akuje kukubandika bango ndio mana hata pm tumefunga kuogopa hizi mambo
usiogope mkuu ,samaki mmoja akioza unamchomoa unamtupa[emoji3][emoji3][emoji3]
 


[emoji58][emoji58][emoji58][emoji58][emoji58][emoji58]
 
Wamekusikia mkuu wenye ujumbe wao me ndio mana mambo hizi naogopa sana yaan acha tuendelee kuwa waoga tu mtu anataka kukujua ili akuchunguze ulivyo akuje kukubandika bango ndio mana hata pm tumefunga kuogopa hizi mambo
[emoji3][emoji3]

Shemela...kwema?
 
Hv had jamii forum unaweza kutongoza daa mkuu nifundishe na mm
Kutongoza sawa na michezo ya watoto wadogo unaanzia mbali utakuta umefikia lengo bila ata kujua umelifikiaje..!
 
Wanaonizunguka katika shughuli zangu za kila siku tu sijawamaliza je wa JF ambao naishia kuona DP zao nitawaweza kweli??? Itokee tu pasipokupanga ila sijafikiria kung'oa kimwana JF, honestly.
 
Hivi mdada anayetongozwa namna gani ataonekana amefanikiwa? Nina shaka na heading yako!
 
Sijawahi kuwa interested na mwanamke humu...kuna mmoja nimewahi kukuta kaweka avatar ya mtu ninayemfaham nikamfuata PM nikaanza kumuuliza maswali ya kidadisi nikagundua sio yeye so kuna kafeeling ninacho kuhusu hawa wanawake,either ni vibungo au wanaume wanajifanya wanawake...raha ya kutongoza uwe tayari ushapata motisha kwakuuona mzigo live.
 
Hivi mdada anayetongozwa namna gani ataonekana amefanikiwa? Nina shaka na heading yako!
Utakuwa small brain wewe..! Unadhani wadada hawana upendeleo wao na wanaume wanao wapenda na unadhani hawafanyi jitihada za kijitongozesha kimtindo.. Labda wewe huna swaga na kitu cha kuwavutia..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…