Alafu mimi naku-like ndiyo na ku-quote wewe hunipi like, pesa utanipa kweli[emoji53]Pesa haiongei..! Ila nina zaidi ya mapesa..! Supersweets plus powerful mind..!
Hahaha we bwana usinilazimishe nikuonesha chati zangu Na watoto Wa humu!Tambo zenu wakina byamungu bwana ni shida..! Pm zipo ila sindiyo hivyo ni shosts tuuh..
Nimekupata kaka twende kaziMnachati tuuh! Kidume sina muda wa kuchati sana.
[emoji119]Nyuma ya kibodi acha kuomba hadharani..! Afu ujue papuchi ya kununua haina radha..[emoji8][emoji8][emoji8]
Ila shunie kama kweli wewe ndio huyo kwa hiyo dp .... sipatii picha papuchi yako.....ππππWamekusikia mkuu wenye ujumbe wao me ndio mana mambo hizi naogopa sana yaan acha tuendelee kuwa waoga tu mtu anataka kukujua ili akuchunguze ulivyo akuje kukubandika bango ndio mana hata pm tumefunga kuogopa hizi mambo
huko pm ndo Wapi?
Hadi wewe pastor...me Najionaga.bado mdogo siwawezagi hata kuchangia thread zao
Hahahaa..imebidi nicheke tu..Pia watu wa humu ukionana nao ni tofauti na fb sababu hawa humu wengi ni invisible person anapojidhirisha Kama ulikua mtu wa kutoa shit nyingi humu lazima uwe na wasiwasi usijetua mikononi mwa kamanda C-Law
Kwemahuko pm ndo Wapi?
Twende pembeni tupeane neno kidogohuko pm ndo Wapi?