Funguka: Tangu uanze kutongoza/kutongozwa hapa JF, umefanikiwa mara ngapi?

Funguka: Tangu uanze kutongoza/kutongozwa hapa JF, umefanikiwa mara ngapi?

Ni kweli mkuu nimekuele ngoja nitangaze nia kama watajitokeza
Mwanaume unachokoza kijanja, km utani vile mara utasutukia yuko kwenye 17+1 usifanye kosa.
 
Alafu mimi naku-like ndiyo na ku-quote wewe hunipi like, pesa utanipa kweli[emoji53]
Nyuma ya kibodi acha kuomba hadharani..! Afu ujue papuchi ya kununua haina radha..[emoji8][emoji8][emoji8]
 
Nimekusoma mzazi! But nisaidie nijue njisi ya kuanzisha uchokonozi
 
Wamekusikia mkuu wenye ujumbe wao me ndio mana mambo hizi naogopa sana yaan acha tuendelee kuwa waoga tu mtu anataka kukujua ili akuchunguze ulivyo akuje kukubandika bango ndio mana hata pm tumefunga kuogopa hizi mambo
Ila shunie kama kweli wewe ndio huyo kwa hiyo dp .... sipatii picha papuchi yako.....😛😛😛😛
 
Heee..hivi kumbe kweli watu mnatongozana humu?
Sasa ma ID yenyewe fake fake mnajuana vipi!!!
 
Pia watu wa humu ukionana nao ni tofauti na fb sababu hawa humu wengi ni invisible person anapojidhirisha Kama ulikua mtu wa kutoa shit nyingi humu lazima uwe na wasiwasi usijetua mikononi mwa kamanda C-Law
Hahahaa..imebidi nicheke tu..
Na kuna hati hati ya kutongoza ndugu pia.
 
Back
Top Bottom