Hemedy Jr Junior
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 915
- 1,082
1. Wachawi ukitumia kioo pale ambapo kitakuwa wazi usiku uchukua sura yako na kuenda kuitumikisha kiuchawi. Kwahiyo usishangae mtaani wakawa wanakunyoshea vidole/kidole wakishemezena ujue yule mmama/baba/kaka/dada mchawi kumbe unatumika kiuchawi na we hujijui kisa kioo kukiacha wazi usiku.
2. Kuweni makini na kioo mwisho msijekutwa na majanga maana wananchi awasikilizi ausee afu unakuta kweli we ujui chochote kuhusu ushirikina.
3. Pia kioo kulala wazi sio vizuri mauza uza yanaweza kutokea ata kama awatokutumia kiuchawi..(hurusiwi kujiangalia kwa kioo usiku.
Imeandaliwa na kimodomsafi