Funika kioo wakati wa kulala usiku

Funika kioo wakati wa kulala usiku

Nadhani kabla ya kulala ukianza kufunika vioo sio majirani watakosema fulani ni mchawi bali familia yako na wote watakaokuwa wamekutembelea...
 
1. WACHAWI UKITUMIA KIOO PALE AMBAPO KITAKUWA WAZI USIKU UCHUKUA SURA YAKO NA KUENDA KUITUMIKISHA KIUCHAWI. KWAHIYO USISHANGAE MTAANI WAKAWA WANAKUNYOSHEA VIDOLE/KIDOLE WAKISHEMEZENA UJUE YULE MMAMA/BABA/KAKA/DADA MCHAWI KUMBE UNATUMIKA KIUCHAWI NA WE HUJIJUI KISA KIOO KUKIACHA WAZI USIKU.
2. KUWENI MAKINI NA KIOO MWISHO MSIJEKUTWA NA MAJANGA MAANA WANANCHI AWASIKILIZI AUSEE AFU UNAKUTA KWELI WE UJUI CHOCHOTE KUHUSU USHIRIKINA.
3. PIA KIOO KULALA WAZI SIO VIZURI MAUZA UZA YANAWEZA KUTOKEA ATA KAMA AWATOKUTUMIA KIUCHAWI..(HURUSIWI KUJIANGALIA KWA KIOO USIKU.
Imeandaliwa na Kimodomsafi
Kuna ukweli hapa ila wajinga na wapumbavu watapuuza
 
Wanasema kepitoz ni kufokea, ingawa mi huwa nadhani ni ama changamoto za kutumia keyboard au ndo janga la Elimu yetu.

Sijui lipi ni sahihi kwa hapa!
Sheria kifungu cha ngapi...kutumia kepitoz ni utaratibu tu so kufokea wewe ndo utahisi
 
1. WACHAWI UKITUMIA KIOO PALE AMBAPO KITAKUWA WAZI USIKU UCHUKUA SURA YAKO NA KUENDA KUITUMIKISHA KIUCHAWI. KWAHIYO USISHANGAE MTAANI WAKAWA WANAKUNYOSHEA VIDOLE/KIDOLE WAKISHEMEZENA UJUE YULE MMAMA/BABA/KAKA/DADA MCHAWI KUMBE UNATUMIKA KIUCHAWI NA WE HUJIJUI KISA KIOO KUKIACHA WAZI USIKU.
2. KUWENI MAKINI NA KIOO MWISHO MSIJEKUTWA NA MAJANGA MAANA WANANCHI AWASIKILIZI AUSEE AFU UNAKUTA KWELI WE UJUI CHOCHOTE KUHUSU USHIRIKINA.
3. PIA KIOO KULALA WAZI SIO VIZURI MAUZA UZA YANAWEZA KUTOKEA ATA KAMA AWATOKUTUMIA KIUCHAWI..(HURUSIWI KUJIANGALIA KWA KIOO USIKU.
Imeandaliwa na Kimodomsafi
Ahsante kwa Ilmu Kiongozi tunalala kwa Duah
 
Tushaanza kuharibiana usiku,
Wengine tunalala kwenye magofu...

Shindwaa.... fire... fireeee
 
Mwenye kuzingatia azingatie mwenye kupuuza apuuze.
 
1. WACHAWI UKITUMIA KIOO PALE AMBAPO KITAKUWA WAZI USIKU UCHUKUA SURA YAKO NA KUENDA KUITUMIKISHA KIUCHAWI. KWAHIYO USISHANGAE MTAANI WAKAWA WANAKUNYOSHEA VIDOLE/KIDOLE WAKISHEMEZENA UJUE YULE MMAMA/BABA/KAKA/DADA MCHAWI KUMBE UNATUMIKA KIUCHAWI NA WE HUJIJUI KISA KIOO KUKIACHA WAZI USIKU.
2. KUWENI MAKINI NA KIOO MWISHO MSIJEKUTWA NA MAJANGA MAANA WANANCHI AWASIKILIZI AUSEE AFU UNAKUTA KWELI WE UJUI CHOCHOTE KUHUSU USHIRIKINA.
3. PIA KIOO KULALA WAZI SIO VIZURI MAUZA UZA YANAWEZA KUTOKEA ATA KAMA AWATOKUTUMIA KIUCHAWI..(HURUSIWI KUJIANGALIA KWA KIOO USIKU.
Imeandaliwa na Kimodomsafi

Upuuzi, naweza lala nje na mchawi hanitishi hata kidogo.
 
Aiiii
Kabati unafunikaje?
Kabati iko chumbani unakolala au ? Kama iko chumbani funika na kitambaa. But sijatoa uzi huu kwa watu wote.
📌 iko hivi kama uko na imani ndogo funika ila kama uko na imani safi yaani uko na mwenyezi mungu kila ulifanyalo achana na kioo
 
Huu ndio ujinga tunaorisishana waafrika. Kuwa watu wa hofu hofu.

Halafu anayehofia kurogwa au kutumikishwa kichawi unakuta ni masikini tena fukara kwelikweli.

Kuna mambo ukiyaendekeza lazima yakukwamishe. Uswahilini hizi ndio stori zinazoaminika sana. Hakika ukiishi uswahilini hutoboi
 
Ukiishi kwa kuzingatia mambo ya kishirikina utaishi kwa shida sana
 
Back
Top Bottom