Funika kioo wakati wa kulala usiku

Nadhani kabla ya kulala ukianza kufunika vioo sio majirani watakosema fulani ni mchawi bali familia yako na wote watakaokuwa wamekutembelea...
 
Kuna ukweli hapa ila wajinga na wapumbavu watapuuza
 
Wanasema kepitoz ni kufokea, ingawa mi huwa nadhani ni ama changamoto za kutumia keyboard au ndo janga la Elimu yetu.

Sijui lipi ni sahihi kwa hapa!
Sheria kifungu cha ngapi...kutumia kepitoz ni utaratibu tu so kufokea wewe ndo utahisi
 
Ahsante kwa Ilmu Kiongozi tunalala kwa Duah
 
Tushaanza kuharibiana usiku,
Wengine tunalala kwenye magofu...

Shindwaa.... fire... fireeee
 
Mwenye kuzingatia azingatie mwenye kupuuza apuuze.
 

Upuuzi, naweza lala nje na mchawi hanitishi hata kidogo.
 
Aiiii
Kabati unafunikaje?
Kabati iko chumbani unakolala au ? Kama iko chumbani funika na kitambaa. But sijatoa uzi huu kwa watu wote.
๐Ÿ“Œ iko hivi kama uko na imani ndogo funika ila kama uko na imani safi yaani uko na mwenyezi mungu kila ulifanyalo achana na kioo
 
Huu ndio ujinga tunaorisishana waafrika. Kuwa watu wa hofu hofu.

Halafu anayehofia kurogwa au kutumikishwa kichawi unakuta ni masikini tena fukara kwelikweli.

Kuna mambo ukiyaendekeza lazima yakukwamishe. Uswahilini hizi ndio stori zinazoaminika sana. Hakika ukiishi uswahilini hutoboi
 
Ukiishi kwa kuzingatia mambo ya kishirikina utaishi kwa shida sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ