Funny On Point: Uzi maalum wa stand-up comedy clips kutoka kwa Stephen Chelu

Stephen Ngalya Chelu

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2017
Posts
8,288
Reaction score
18,579
Siku za hivi karibuni nilitembelea stand up comedy events kadhaa na taratibu nikaanza kuvutiwa kuingia huko na nikaanza kujaribu kufanya.

Hivyo basi kupitia uzi huu nitakuwa nashiriki nanyi baadhi ya clips zangu kwenye perfomances kadhaa kwa ajili ya kuburudika, kukosoa na kushauri.

Mods kama mnaona huu uzi haufai mnaweza kuufuta au mkiona hili siyo jukwaa lake mnaweza kuupeleka kwenye julwaa mnaloona ni sahihi.

Leo tuanze na hii

Topic: Women's Top Secret

Language: English

Event: Open Mic

NB: Mtu aliyerekodi alikuwa anazoom in na out kila wakati na pia video haijatulia, inatikisika sana.

safi ila kaza zaidi upo serious sana
Shukrani kwa maoni mkuu. But hapo ndo ilikuwa mara yangu ya kwanza kabisa na tena nikaamua kujilipua kwa kufanya kwa english, so hapo nilikuwa nina kitete halafu pia muda kwa kila performer ni mchache (dakika 3) so pia kuna kukimbizana na muda....

Ila nitalifanyia kazi kadri siku zinavyokwenda...
 
View attachment 3287390
Mkuu umenyooka sana! Njoo pm uokote!!!
 
Shukrani kwa maoni mkuu. But hapo ndo ilikuwa mara yangu ya kwanza kabisa na tena nikaamua kujilipua kwa kufanya kwa english, so hapo nilikuwa nina kitete halafu pia muda kwa kila performer ni mchache (dakika 3) so pia kuna kukimbizana na muda....

Ila nitalifanyia kazi kadri siku zinavyokwenda...
pamoja sana🤝🤝
 
Bongo stand up comedy bado sana, kuna moja niliangalia badala nicheke nikaanza kumuonea huruma mchekeshaji maana hajui kuchekesha kaongea hadi mate yanakauka alafu watu wote wame chill kimya hawacheki wala nini
 
Unachosema ni kweli mkuu, si unaona hata hapo wamecheka mara moja tu. Ukitembelea comedy clubs utaona jinsi stand up comedians tunavyoteseka. Ila nadhani kwa kuwa ni kitu kipya bado hivyo ni mwendo wa majaribio na makosa...

Nafikiri ni suala la muda na jitihada...
 
Back
Top Bottom