Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,288
- 18,579
Shukrani kwa maoni mkuu. But hapo ndo ilikuwa mara yangu ya kwanza kabisa na tena nikaamua kujilipua kwa kufanya kwa english, so hapo nilikuwa nina kitete halafu pia muda kwa kila performer ni mchache (dakika 3) so pia kuna kukimbizana na muda....safi ila kaza zaidi upo serious sana
Mkuu umenyooka sana! Njoo pm uokote!!!Siku za hivi karibuni nilitembelea stand up comedy events kadhaa na taratibu nikaanza kuvutiwa kuingia huko na nikaanza kujaribu kufanya.
Hivyo basi kupitia uzi huu nitakuwa nashiriki nanyi baadhi ya clips zangu kwenye perfomances kadhaa kwa ajili ya kuburudika, kukosoa na kushauri.
Mods kama mnaona huu uzi haufai mnaweza kuufuta au mkiona hili siyo jukwaa lake mnaweza kuupeleka kwenye julwaa mnaloona ni sahihi.
Leo tuanze na hii
Topic: Women's Top Secret
Language: English
Event: Open Mic
NB: Mtu aliyerekodi alikuwa anazoom in na out kila wakati na pia video haijatulia, inatikisika sana.
View attachment 3287390
pamoja sana🤝🤝Shukrani kwa maoni mkuu. But hapo ndo ilikuwa mara yangu ya kwanza kabisa na tena nikaamua kujilipua kwa kufanya kwa english, so hapo nilikuwa nina kitete halafu pia muda kwa kila performer ni mchache (dakika 3) so pia kuna kukimbizana na muda....
Ila nitalifanyia kazi kadri siku zinavyokwenda...
Pamoja sana mkuu...Mkuu ukiongeza jitihada kidogo baaas
Naunga mkono hojaSijaiangalia hiyo video ila nimeipenda sana, hakika comedians wajipange kwa ujio wako mana unakwenda kuwanyoosha.
Unachosema ni kweli mkuu, si unaona hata hapo wamecheka mara moja tu. Ukitembelea comedy clubs utaona jinsi stand up comedians tunavyoteseka. Ila nadhani kwa kuwa ni kitu kipya bado hivyo ni mwendo wa majaribio na makosa...Bongo stand up comedy bado sana, kuna moja niliangalia badala nicheke nikaanza kumuonea huruma mchekeshaji maana hajui kuchekesha kaongea hadi mate yanakauka alafu watu wote wame chill kimya hawacheki wala nini
Pamoja.Pamoja sana mkuu...