Igombe fisherman
JF-Expert Member
- Apr 28, 2017
- 2,178
- 3,865
Kwetu neno wachaga linamaana kashakufaPata hela mkuu akaunti iwe nzito ndo utaelewa kwanini wakubwa wanakwambia wachaga sio watu bali ni( wacha_ga )kwa sisi kabila letu maana yake na afe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwetu neno wachaga linamaana kashakufaPata hela mkuu akaunti iwe nzito ndo utaelewa kwanini wakubwa wanakwambia wachaga sio watu bali ni( wacha_ga )kwa sisi kabila letu maana yake na afe
Hivi lile tukio la kumbanika mke kule kigamboniYaani nyi wanawake kununulia mwanaume mumoja tu ka subaru maneno mengi. Sisi wanaume tunahonga mpaka mikoa ila hatusemi. Watu wamehonga mpaka reli tukiachilia mbali meli, tren, ndege zote tunahonga tu na tuko kimya. Mwacheni huyo dogo awe anaturudishiapo hasara. Ukute hata hizo wanazompa nazo wanatoa kwa vibosile tu
Nilikua nae tukachumbiana na mimba juu,sijui hata alibadirika wapi?mara ya kwanza polisi O bay kanipeleka yeye,ya pili yeye,ya tatu nikaruka ukuta nikakimbia polisi wapo hapo wanasubiri wanipeleke mahabusu,waliniona na taulo wakajuahaendi kokote nikawaambia naenda kukojoa then tuondoke,aah huko huko nikalala mbere.Huwezi kumtetea Neema, Neema ni mchaga. Wachaga sio watu wazuri. Na kama ndugu yako ameoa mchaga mwambie aendelee kupumulia mashine. Siku zake zinahesabiwa😄😄😄😄😄😄
Kujipenda mwenyewe ndio kitu gani!!?Humu duniani kuna raha nyingi sana...jipende mwenyewe, tafuta pesa, kula bata..life goes on
Wala siko huko naimani umekosea ku quoteHivi lile tukio la kumbanika mke kule kigamboni
Lilifanywa na mwanamke
Ova
Very arrogant. Huenda alishajenga sijui maana siyo mjinga.Soon atajenga hio ndio tunaita “kudanga kwa weledi ” hahaha sema dah hayo sio maisha yani mpaka mtu anafikia kujisifia ni aibu aisee!
Natamani siku moja dunia isiwe na ukabila,udini,utaifa wala urangi.Binadamu wote tuwe kitu kimoja.Huwezi kumtetea Neema, Neema ni mchaga. Wachaga sio watu wazuri. Na kama ndugu yako ameoa mchaga mwambie aendelee kupumulia mashine. Siku zake zinahesabiwa😄😄😄😄😄😄
Do you know law if large numbers kweli.Mi ndugu zangu kwa upande wa baba wameoa Wachaga na sasa hadi wana Wajukuu mkuu.
Mimi mwenyewe nina mchumba mchaga wa Machame. Very humble and God-fearing....kuna siku nitamleta humu JF.
Ni kweli mkuu,Hivi eeee
Halafu ndio wanaoolewa sana, niliwahi fanya ka research ka mahusiano serious nilishangaa wadada wengi wa kichaga wanapoingia kwenye mahusiano yanaishia ndoa
Nikachungulia harusi zinazofungwa kwenye kumbi tofauti nikakuta nyingi ya hizo zina wanawake wa kichaga.
Sasa ngoja nikachungulie hilo ulilosema la kupumulia mashine hapo nitarudi
No matter what you say, hakuna busara kwenye kubariki mauaji yoyote yaleNianze kwa kulaani kitendo alichofanya huyu Grace, cha kumuua mpenzi wake kwa kumteketeza kwa moto. Ni kitendo cha kinyama sana.
Funzo:
1. Tunatakiwe tuwe real kwenye mahusiano yetu. Ni dhambi kubwa sana kumuaminisha mtu kuwa unampenda halafu kumbe kuna mwingine unampenda na umeshamtambulisha kwenu.
Biblia inasema, "Upendo una nguvu sawa sawa na kifo" Si vyema kucheza na hisia za watu.
Kama mtu humupendi kwanini umdanganye?
Zungu amepokea mshahara wake aliositahili. Bado wewe unae-cheat sijui utapokea lini.
NB: Msianze kuhusisha kabila la mtu na upumbavu wake. Mambo hayo ni ya kizamani sana. Mimi Nebuchadinezzer nina mchumba mmoja tu tena Mchaga wa Machame. "She is very humble, beautiful and God-fearing.
Kama una mpango na demu wako, mwambie mwanzo kabisa sio kumfanya dada wa watu anawekeza kwako halafu mwisho wa siku, faida anakula mtu mwingine.
Poleni sana wafiwa.
PIA SOMA
I hate tribalism and religionism too Tena Ile heavy kabisa.Natamani siku moja dunia isiwe na ukabila,udini,utaifa wala urangi.Binadamu wote tuwe kitu kimoja.
Ndio maanake kwani mwanamke anatoaga hela yake 100% basi! Hela nyingi kama ya gari anamchuna danga lake au anaiiba ofisini anampelekea ben 10 mfuga ndevu wa makumbusho!😅😅😅Yaani nyi wanawake kununulia mwanaume mumoja tu ka subaru maneno mengi. Sisi wanaume tunahonga mpaka mikoa ila hatusemi. Watu wamehonga mpaka reli tukiachilia mbali meli, tren, ndege zote tunahonga tu na tuko kimya. Mwacheni huyo dogo awe anaturudishiapo hasara. Ukute hata hizo wanazompa nazo wanatoa kwa vibosile tu
Njia rahisi kabisa ya kumpima mtu jinsi alivyo na akili fupi mpime katika ukabila,udini na urangi.I hate tribalism and religionism too Tena Ile heavy kabisa.
Unafanikisha maisha unaanza kumtukana mwenzako kuwa ni mjinga wewe una akili Sana.
So ukiwa tajiri kuzidi baba yako Ina Mana naye hakuwa na akili.
Afrika tunamalizana kwa udini ukabila
Ukiwahi kuniuliza kuwa wewe ni kabila gani ama dini gani during our early acquaintance nakupiga chini fasta.Njia rahisi kabisa ya kumpima mtu jinsi alivyo na akili fupi mpime katika ukabila,udini na urangi.
Huyo demu wako alikuwa na narcissist disorder! Demu anaekuitia polisi kila mkipishana hafai ni mwehu huyo ~ in babalevo voiceNilikua nae tukachumbiana na mimba juu,sijui hata alibadirika wapi?mara ya kwanza polisi O bay kanipeleka yeye,ya pili yeye,ya tatu nikaruka ukuta nikakimbia polisi wapo hapo wanasubiri wanipeleke mahabusu,waliniona na taulo wakajuahaendi kokote nikawaambia naenda kukojoa then tuondoke,aah huko huko nikalala mbere.
Nikala dcm la gongo la mboto km kichaa,kifua wazi kondaanauliza nauli nikamsimulia mkasa mzima dah akanambia poa mwana rudi kwenu huyo demu atakuua.
Nimefika home na taulonagonga naingia mazaananiona we vp tena,namwambia nimewatoroka polis,kisa namwambia mwanamke kadai nimempiga na kumtishia maisha.
Maza anauliza umefanya hivyo no sijafanya visa tu.
Maza mtu mpole ila ni mjeshi,akasema lala pumzika kesho tunamuibukia.
Ajabu kesho yake mapema tu demu huyu hapa home,kaja kushtaki kaongea pale weeh kalia sijui nini usanii mtupu,maza akaniuliza unamskia mwenzio?nikamwambia mwongohuyu,
Utaendelea naye ama uppge chini hapa hapa.
Demu hapo kapiga magoti nisamehe nisamehe.
Mi ikabidi ok narudi nae home ,tukasuluishwa yakaisha. Na nikaamua nimtoe kino nimuamishie kigogo huko maana labda maisha kino yamnamzingua,kuhama kigogo mimba hiyo,kaanza tena visa siku nashangaa tu nimerudi mzigo naiti kali niko mbonji nashtuliwa na maafande,vp? Naambiwa una kesi kutishia kuua mama na mtoto tumboni dah mimi? Eeh nikapigwa Pingu ndani post pale kigogo.
Badae sana polisi wakaomba mlungula wanitoe nikawaambia sina labda nikakope,
Twende tukusindikize😆😅😅
Nikaenda na polisi kukopa niwahonge,
Anyway pale home kulikua na mpangaji mwenzangu mmaza mmoja wa kihaya nilikua nampa hela aniwekee kwa ivyo tulivofika home nikajifanya nikopeshe 10k akanipa nikawapa wakatimka.
Hata ndani sikuingia huyo mpk gomz kwa maza.
Maza akasema sasa hurudi tena kule na akija hapa huyo malaya ntadeal nae.
Anza upyaa maisha.
In serieos note niliacha kila kitu nikapanga uswazi huko mtoni kwa AzizAlli ili tu tusionane.
In shot sasa kafulia,ila kanizalia kijana ana miaka 18 sasa,eti anaomba turudiane 😎😄😄 .
Ukimuona ni mwanamke pisi haswa toka miaka hiyo mpaka sasa anazeeka ni mrembo wa haja.
Sasa kama ni mchaga watu wasiseme??Natamani siku moja dunia isiwe na ukabila,udini,utaifa wala urangi.Binadamu wote tuwe kitu kimoja.
Alafu kikiumanika watanzania wanaanza kulia lia.kumbe mtu alikua anatiwa adabuImemnyeaaaa...
Kumbe zungu alikua anatembea pia na marafiki wa neema? Aisee hii dharau sana
ni wana wa IsraeliNi kweli mkuu,
Pamoja na matukio wanayoyafanya Bado wanaolewa sana.
Tembelea nyumba za ibada katika Kila tangazo la ndoa hawakosekani.
Wapi nimedai kuwa watu wasitambuliwe kutokana na makabila yao?