Funzo alilotuachia Grace Mushi wa Makabe

Sasa kama ni mchaga watu wasiseme??

Sent using Jamii Forums mobile app
Hua kikiumanika ni kwa wote mkuu,hakuna cha mchaga, mrangi, mnyaturu au mzigua.
Watu wameua zeruzeru,wengine mama zao,wengine bibi vikongwe.

Hayo masuala ni individual.
Yaani hata wewe unaeza kuumanishwa ukimzingua mkeo

Sema kimeumanika πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜‚
 
Mi ndugu zangu kwa upande wa baba wameoa Wachaga na sasa hadi wana Wajukuu mkuu.

Mimi mwenyewe nina mchumba mchaga wa Machame. Very humble and God-fearing....kuna siku nitamleta humu JF.
Kama ambavyo siku utakayomleta humu jf na iko siku utalia na kusaga meno au hata hiyo nafasi ya kulia usipate waje walie ndugu zako. Usimuoe huyo
 
Kwa nini wanawake wakichaga wanasifika vibaya ila huwezi sikia mwanaume wa kichaga ana sifa mbovubovu hapa TZ. What is wrong with some Chagas wemen?
 
Nianze kwa kulaani kitendo alichofanya huyu Grace, cha kumuua mpenzi wake kwa kumteketeza kwa moto. Ni kitendo cha kinyama sana.

Funzo:
Mwanaume kiasili hawezi kubaki na mke au mpenzi mmoja, kama kuna wanawake hawajui hili wana matatizo yao binafsi. Mwanaume anaweza kubaki na mke au mpenzi mmoja, lakini hilo linategemea jitihada za huyo mwanamke mwenyewe......kwa maana nyingine mwanamke ndo ana influence mwanaume abaki na yeye na asiende kwengine......hakuna haja ya kufanya ubabe hapo.
 
Heheheheh mwamba hii kama TATEPA flani sema freshi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…tunaishi nayo
Hiyo ni real mkuu,nimekumbuka ikawa nacheka tu.hao wote na mimi tulikua watoto wa mjini.
Huyo dogo alikua Mario wa Amina Chifupa,akihongwa nae anahonga kwa wife,
Wife ndo ile umeacha hela ya Maharage unakuta la tilapia mezani.
Sasa hapo unauliza nini tena
 
Huwezi kumtetea Neema, Neema ni mchaga. Wachaga sio watu wazuri. Na kama ndugu yako ameoa mchaga mwambie aendelee kupumulia mashine. Siku zake zinahesabiwa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Kuna binti wa kichaga anaitwa kimaro unasababisha niairishe kuoa
 
Hahahahah hapo kweli patamu, kwahio ukamsusia mazigo na gharama za kumtunza kwa biti kuwa utamwaga tope akizingua af ukawa unaimega kisela bila bi mkubwa kujua πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Kuna demu nlikua nataka kupiga na kusepa lakn kaning'ang'ania, miez minne mi simtafuti ila ananitafuta yeye na hata nikimkosea mimi msamaha anaomba yeye, nilishamtaftia kosa la kumuacha lakn sipati, sahiv had naogopa kumwambia tuachane naona anaweza kuja kunichomea Moto ndani
 
yani mtu anakupeleka had polisi unan'gan'gania nae tu,itakuwa ulilishwa limbwata.Yani ukinipeleka polisi tu jua hyo ndio sku ya mwisho mm na ww kukaa pamoja.
 
kumbe ulitaka umkubalie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…