Funzo alilotuachia Grace Mushi wa Makabe

Duh umeniita mie nimeshindikana duniani na ahera mwenzako
Hakuna mwanamke wife material kama wewe mamito. Watu wanajudge kutokana na michango yako ambayo ni ya kuburudisha tu. I know you
 
yani mtu anakupeleka had polisi unan'gan'gania nae tu,itakuwa ulilishwa limbwata.Yani ukinipeleka polisi tu jua hyo ndio sku ya mwisho mm na ww kukaa pamoja.
Ndio nimekwambia ni mtu wa kwanza kunifikisha polisi,
Hakuna cha limbwata wala nini.
Mi mwenyewe nilikua mafia haswa ananijua.
Ndo mana alikua anakimbilia polisi.
Kuna siku nikaamua nimalizane nae.
Nimetoka porini na kisu cha kuchuna ngozi cha umeme nimepita kwa macheni ntapiga mzinga vibaka si wakanipiga sachi wakakiiba😅😅😅.
Yaani nawashukuru sana wale vibaka.
Bila wao ningekua niko nondo sa hii au nshanyongwa😕😣
Heheheheh kibabe sana
Aah mtoto mwenyewe bishoo tu tungeondoka nae,masela wana haha huyo unachelewesha boss tupe kazi.ndo pale kumuonyesha njemba nne pale nje kaanza kulialia ndo nikampa hilo sharti akileta ubwege nnae aah akafuata masharti tu.
 
Huwezi kumtetea Neema, Neema ni mchaga. Wachaga sio watu wazuri. Na kama ndugu yako ameoa mchaga mwambie aendelee kupumulia mashine. Siku zake zinahesabiwa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Una wivu kwa kuwa walikuumiza!?? Maana si kwa povu hilo!!! Je !?? Wote wanaouana kwa wivu wa mapenzi ni wachaga!?? Yule mmakonde aliye mchoma mkewe kwa gunia mbili za mkaa ni mchaga!?? Kama mchaga kakutosa usigeneralize tazama mapungufu yako!!
 
Mkuu inaonekana unamjua kiundani kabisa isije kua kishapita nawe hapa umegeuza story
 
Adhabu za aina hii sio kabisa ni heri angempa mwanaume nafasi ya kujitetea,Mapenzi au mahusiano hayalazimishwi Kama mtu akupendi we achana nae kwani wengine hawapo? Ukijikubari,ukijithamini na kijipenda mwenyewe mahusiano hayawezi kukupa shida.Kwani wanaume wameisha mbona wapo wengi tu.Wanaume wenzangu hebu tuache kucheza na hisia za wanawake,Mwanamke akipenda huwa anapenda kweli yaani vyote pamoja na moyo wake Sasa inapotokea unamsaliti huwa anatengeneza kisasi kikubwa.Wanawake unapogundua mpenzi wako anakusaliti usijichukulie sheria mkononi nenda kamshitaki hata ustawi wa jamiii.[emoji848][emoji1241]
 
Una wivu kwa kuwa walikuumiza!?? Maana si kwa povu hilo!!! Je !?? Wote wanaouana kwa wivu wa mapenzi ni wachaga!?? Yule mmakonde aliye mchoma mkewe kwa gunia mbili za mkaa ni mchaga!?? Kama mchaga kakutosa usigeneralize tazama mapungufu yako!!
wachaga wanatakiwa kupewa chanjo ya covid ndio watatulia.
 
Mabinti wakichagga hawasafishiki kama ilivyo awamu iliyopita.
 
Mkuu inaonekana unamjua kiundani kabisa isije kua kishapita nawe hapa umegeuza story
Hapana. Siwezi. Haya maisha nimejamkuta nayo mwaka juzi. Hakua nayo chuo. Ndo classmate wangu akawa ananielezea tabia za jamaa. Sikutegemea maisha niliyomeona nayo. And i dont date shouting boys. I date ordinary men. Ikanisaidia kuconnect dots kwamba lengo lake enzi hizo alikua akitaka nini kwangu. Nikikukataa leo hata kesho nakukataa. Nikikupenda leo hata kesho nitakupenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…